Naomba kujua hali ya Mbunge Sumari huko India

Bitabo

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,900
687
Ma Great Thinkers wenye mtandao wa huko India, Mbunge wetu mpendwa anaendeleaje???
 
Mimi nadhani ni wakati wa viongozi wa CCM wakamruhusu kwenda kupumzika, kwani wana Arumeru hawana mwakilishi TAngia mwaka jana.
Kwanza aliiba kura Bora atangulie mbele ya haki
Kamanda NAsari piga Jeramba
 
Hivi bado kumbe tuna wagonjwa India?? Mimi nilifikiri Mwakyembe alikuwa wa mwisho kurudi!!

Hivi hili tatizo la afya za viongozi wetu ndiyo reflection halisi ya afya za watanzania???
 
Hivi bado kumbe tuna wagonjwa India?? Mimi nilifikiri Mwakyembe alikuwa wa mwisho kurudi!!

Hivi hili tatizo la afya za viongozi wetu ndiyo reflection halisi ya afya za watanzania???

Mh cirill chami is still admitted
 
kama tulivyo waombea wengine wakapona naye tumuombee apone haraka arejee nyumbani na hasa mjengoni kama kuna tuhuma za uizi wa kura mahakama zipo wazi
 
Mama angu longi alikuwaga anaipenda ccm ila siku hizi akisikia viongozi wao wanaumwa anasema bora wapitilize ili wapungue.
 
waliobaki India nawatakia kupona haraka na kurudi na afya njema.. Na Merry Xmass na Happy 2012!
 
Hatumwombei mabaya,apone tu na arejee kwa familia yake,but asirejee mjengoni!akipona aachie ngazi kwa amani,apunzike na familia yake!WENYE AFYA ZAO WAONGOZE WANANCHI.
 
Back
Top Bottom