Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 141
Naomba kujua faida ya kitunguu swaumukibichi na asali mbichi.
Sent from my BlackBerry 9780{katefar}
Sent from my BlackBerry 9780{katefar}
Mkuu eliezar mlwafu Asali na kitunguu saumu vinatibu maradhi mengi tu inategemea wewe unataka kutumia kwa njia gani?Sent from my BlackBerry 9780{katefar}
mkuu kuna uzi mrefu sana unaoelezea faida ya kitunguu swaumu upitie...uzi wenyewe umegandishwa hapo juu
Kiongozi stany mzalendo tafadhali tuwekee hiyo link hapa, kuna siku niliiona sasa natafuta kwa sasa siioni. Ilikuwa inahusu kitunguu swaumu kutibu Fangasi.
[h=2]Dawa kiboko ya minyoo na fungus sugu (home made)!![/h]Habari zenu wadau.Nimeona nitoe elimu hii hapa kwa sababu ni watu wengi sana wanaosumbuliwa na minyoo na fungus sugu kila maeneo kuanzia miguuni mpaka sehemu nyeti!Hii imekuwa kero sana.Haijalishi umezunguka hospitali ngapi bila kupata nafuu.Cha kufanya ni:-
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)
Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!
Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.Ni hayo tu Bandabichi
chanzo. https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/346213-dawa-kiboko-ya-minyoo-na-fungus-sugu-home-made.html
Mkuu Nyakwaratony mtoto mwenye vidonda vya tumbo hawezi kutumia hiyo dozi. mtoto mwenye vidonda vya tumbo mpe maji ya uvuguvugu kila siku asubuhi glasi moja na kabla ya kunywa chai mpe tena maji yaAsante sana DR. MziziMkavu
Naomba unifafanulie maswali yafuatayo/-
1. Dose yake ipoje kwa mtu mzima na mtoto?
2. Je mtu mwenye vidonda vya tumbo anaweza kuitumia tiba hii?
3. Niliwahi kutumia vitunguu swaumu nikapata shida ya harufu mdomoni, pia nikisweat jasho linatoa harufu na hata nikikojoa pia. Ninawezaje kuzuia hizi harufu ama kupunguza?
Asante.
Mkuu Nyakwaratony mtoto mwenye vidonda vya tumbo hawezi kutumia hiyo dozi. mtoto mwenye vidonda vya tumbo mpe maji ya uvuguvugu kila siku asubuhi glasi moja na kabla ya kunywa chai mpe tena maji ya
uvuguvugu glasi moja na kisha mchana kabla ya kula chakula mpe tena glasi moja maji ya uvuguvugu kisha akae saa moja ndio ale chakula cha mchana na usiku kabla ya kula chakula cha usiku mpe tena maji ya uvuguvugu glasi moja kisha
akae baada ya saa moja ndio ale chakula na kila akiwa anataka maji ya kunywa uwe unampa maji ya uvuguvugu fanya hivyo kwa muda wa miezi 3 atapona hivyo vidonda vya tumbo. na wewe kila unapokula vitunguu saumu kisha unywe maji mengi yanaondowa harufu ya kitunguu saumu.
Asante sana DR. MziziMkavu
Naomba unifafanulie maswali yafuatayo/-
1. Dose yake ipoje kwa mtu mzima na mtoto?
2. Je mtu mwenye vidonda vya tumbo anaweza kuitumia tiba hii?
3. Niliwahi kutumia vitunguu swaumu nikapata shida ya harufu mdomoni, pia nikisweat jasho linatoa harufu na hata nikikojoa pia. Ninawezaje kuzuia hizi harufu ama kupunguza?
Asante.
Asante gody, ninazungumzia harufu ya kitunguu swaumu baada ya kikula. Yaan nikitumia kitunguu swaumu ndio mdomo unanuka vitunguu, nikitumia vitunguu swaumu ninapokwenda kukojoa mkojo hunuka vituunguu swaumu na nikisweat jasho hutoa harufu ya vitunguu swaumu. Sio kwamba kinywa changu ndio kina harufu la hasha!
Fanya hivyo kila siku kwamuda wa siku 7 kisha uje hapa utpe feedback.Nimeyapata vyema maelezo ya garlic na minyoo. Nikisha twanga kimoja na kuchanganya na maji kijiko kimoja, je ntafanya hivyo kwa mfululizo wa siku ngapi?
[h=2]Dawa kiboko ya minyoo na fungus sugu (home made)!![/h]
Habari zenu wadau.Nimeona nitoe elimu hii hapa kwa sababu ni watu wengi sana wanaosumbuliwa na minyoo na fungus sugu kila maeneo kuanzia miguuni mpaka sehemu nyeti!Hii imekuwa kero sana.Haijalishi umezunguka hospitali ngapi bila kupata nafuu.Cha kufanya ni:-
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)
Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!
Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.Ni hayo tu Bandabichi
Dawa ya Kienyeji ya Kisonono ya Tiba Mbadala Apate Mizizi ya Mvule na Mizizi ya Mbono uchemshe kwenye maji unywe kutwa mara 3 kwa muda wa wiki 1 inshallah ataponaasannte mkuu!vipi kuhusu gonorea inaweza tibu pia/magonjwa yatokanayo na ngono zembe?mfano gono?
Kwa mtoto wa miaka 10 anaweza kutumia kitunguu saumu kama Dawa unampa nusu ya kitunguu saumu sio chote kizima. Na kuhusu kukata harufu ya kitunguu Saumu unafanya hivi: kula hiliki au kula karafuu au kula tangawizi mbichi itasaidia kukata harufu ya kitunguu saumu. aU Pia kunywa maziwa au kunywa maji mengi harufu ya kitunguu saumu itakatika.Samahani mkuu sijui mie ndo nimeshindwa kujieleza ama wewe umesoma kwa haraka?
Swali la kwanza nilitaka kujua kama mtoto wa miaka 10 anaweza kutumia kitunguu swaumu kama dawa ya minyoo na anatumia kwa kipimo gani na kwa muda gani?? Pia mtu mzima atumie kwa muda gani kitunguu swaumu ili atibu fungus?
Swali la pili namaanisha mtu mzima mwenye vidonda vya tumbo anaweza kutumia vitunguu swaumu?