CDM inafanya vizuri chini ya kilaza kama mbowe na arfu na hii inatuashiria mleta mada upeo wake wa kufikiri upo namna gani.
Kuna watu kama lema, myika,wanje,nk wapo fiti kiongozi ingawa elimu zao ni ndogo achilia mbali kushindwa kufika vyuoni kupima gpa.
Uliza gpa za chenge ushangae na roho yako