Naomba Kujua Elimu na GPA ya Jakaya Kikwete!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Jamani nimekuwa najiuliza sana juu ya uwezo wa Kikwete kuongoza nchi. Inakuwaje Rais mzima anashindwa kufikiri kama vile hajaenda shule? Nimesoma kwamba ana elimu ya Chuo Kikuu, lakini mbona haelekei kama ni Rais mwenye elimu ya ngazi hiyo?

Kama kweli alienda shule na ana shahada ya Chuo Kikuu naomba niambieni kiwango chake cha ufaulu (GPA) wa hiyo shahada yake, maana inavyoonekana wapo wanaojua uwezo wake wa kufikiri ndio maana wanamfanyia madudu wakijua hataweza kufikiri kwa 'level' ya kujua kuwa anachezewa shere.

Naomba na za watoto wake maana kwa style CCM isije na watoto wake wakawa kama Baba yao. Ni muhimu wasije wakapewa uongozi ikawa tunaendeleza ule usemi 'like father like child'.

Nisaidieni jamani, maana siamini kuwa Kikwete ameenda shule!!!!!!!!
 
unafikiri wenye gpa za gentlemen kama yeye watasema, wengine hawajui hata maana ya gpa, huoni walivyo uchuna?
 
Thanks Muganyizi na Mkeshaji. Sasa nimejua kwa nini jamaa walimpigania awe rais wa TZ!
 
miafrika mijinga utaiona. inaulizia gpa kama vile gpa ndio inafanya kazi. mrema hakuwa na gpa lakini kazi alifanya. sokoine hivyo hivyo. gpa kama zinafanya kazi mbona vyuo vyetu hovyo!
 
Suala hapa ni level ya uongozi! Kuongoza watu wa wizara ni tofauti na watanzania mil 40. Ndio maana wewe na ujinga wako huo huwezi kupewa kuongoza Chuo Kikuu au hiyo familia yako, lazima mumeo mwenye akili zaidi yako ndio akuongoze!
 
Jamani nimekuwa najiuliza sana juu ya uwezo wa Kikwete kuongoza nchi. Inakuwaje Rais mzima anashindwa kufikiri kama vile hajaenda shule? Nimesoma kwamba ana elimu ya Chuo Kikuu, lakini mbona haelekei kama ni Rais mwenye elimu ya ngazi hiyo?

Kama kweli alienda shule na ana shahada ya Chuo Kikuu naomba niambieni kiwango chake cha ufaulu (GPA) wa hiyo shahada yake, maana inavyoonekana wapo wanaojua uwezo wake wa kufikiri ndio maana wanamfanyia madudu wakijua hataweza kufikiri kwa 'level' ya kujua kuwa anachezewa shere.

Naomba na za watoto wake maana kwa style CCM isije na watoto wake wakawa kama Baba yao. Ni muhimu wasije wakapewa uongozi ikawa tunaendeleza ule usemi 'like father like child'.

Nisaidieni jamani, maana siamini kuwa Kikwete ameenda shule!!!!!!!!
ukishaijua itakusaidia nini?mrema alifanya makubwa akiwa na DIPLOMA

NAOMBA KUJUA ELIMU YA MBUNGE WAKO WA ARUSHA-lema.
 
Umeelewa Jenifa! najua uko angani ndio maana una hasira hivyo!
 
Ndio maana Mrema kamwe hatakuja kuwa rais kwa level yake ya elimu. Umeelewa!!!
 
Alikuwa na Gentleman degree which means ni less than 2.0. Alisoma udsm economics na alikuwepo kwenye list ya vilaza
 
Wewe Mkerewe umesahau mzee wako alivyokosa ubalozi kwa kutokujua kusoma! Sembuse urais kwa mtu ambaye alikuwa hajisomei, atapata wapi knowledge kama mtu hataki kuumiza kichwa! Kiongozi lazima uwe na elimu ya kuelewa kwani elimu ndio 'reflection' ya ufahamu wa mtu bwana!
 
Jamani nimekuwa najiuliza sana juu ya uwezo wa Kikwete kuongoza nchi. Inakuwaje Rais mzima anashindwa kufikiri kama vile hajaenda shule? Nimesoma kwamba ana elimu ya Chuo Kikuu, lakini mbona haelekei kama ni Rais mwenye elimu ya ngazi hiyo?

Kama kweli alienda shule na ana shahada ya Chuo Kikuu naomba niambieni kiwango chake cha ufaulu (GPA) wa hiyo shahada yake, maana inavyoonekana wapo wanaojua uwezo wake wa kufikiri ndio maana wanamfanyia madudu wakijua hataweza kufikiri kwa 'level' ya kujua kuwa anachezewa shere.

Naomba na za watoto wake maana kwa style CCM isije na watoto wake wakawa kama Baba yao. Ni muhimu wasije wakapewa uongozi ikawa tunaendeleza ule usemi 'like father like child'.

Nisaidieni jamani, maana siamini kuwa Kikwete ameenda shule!!!!!!!!

Subiri kidogo nakutafutia! Ila nazijua za Mwenyekiti Mbowe na Mbunge Mnyika, nikupe nazo?
 
Confirmed he scored a total of 2.1 GPA

yuko kenye red lines kwa standard za sasa, yaani kacheza sana na C na sup kibao, ..he is not hardworker huyu mtu hawezi kusoma documents. Baada ya kumaliza chuo akaenda TANU kuanza kugawa kadi za wanachama! since then....
Reasons za kufeli: muda mwingi alikuwa anajihusisha na harakati za kiislamu (hapa sio udini, kuna wakristo wengi wamefeli kwa kupoteza muda kwenye dini) Kikwete was one of them kila kongamano la kidini , ndani na nje alikuwemo!!!! ni mtu ambaye ana utukuza uislamu wenye siasa kali! brotherhood, hivi ndivyo alivyo
 
Alikuwa na Gentleman degree which means ni less than 2.0. Alisoma udsm economics na alikuwepo kwenye list ya vilaza

siyo alikuwepo mpaka leo yupo, ukiwa kilaza unaendelea for life!! huwa hauishi kama upele!!!
 
UDSM alikuwa anaingia kwenye madarasa ya economics lakini alikuwa akitoka darasani tu anafanya siasa za TANU. Hivyo alifanya vizuri kwenye siasa za TANU lakini alifanya vibaya kwenye economics. Na katika kazi zake kwa sasa ni hivyo hivyo. Kwa bahati mbaya tu kwa wananchi siasa ni muhimu tena kushinda economy.
 
Back
Top Bottom