Naomba kujua bei ya Ku-edit Mwenye ufahamu yeyote

Cassava

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
282
36
Wadau za Leo,

Naomba kujua wapi wanapatikana ma editor na bei zao, kwa ku edit dissertation ya page 125.

Kazi iko tayari ila inahitaji kupita kwa editor kwa ajili ya Ngeli tu na si vinginevyo.

Nawasilisha.

Mpigie huyu jamaa akupe bei yake. He is so good with editing. 0783349085.

Wadau za Leo,

Naomba kujua wapi wanapatikana ma editor na bei zao, kwa ku edit dissertation ya page 125.

Kazi iko tayari ila inahitaji kupita kwa editor kwa ajili ya Ngeli tu na si vinginevyo.

Nawasilisha.

Piga cm namba 0655715211; bei mtaelewana, ata kama unataka ku-analyse data kwa kutumia SPSS, Excel program hapo umefika.

Asante kwa namba nitamtafuta, hata hivyo kazi yangu iko tayari nilisha analyse, SPSS hainisumbui kabisa.

huwa inategemea ukubwa wa kazi. ni-pm nikufanyie hiyo kazi kama uko serious.
hongera kwa kumaliza desertation,ni hatua!

Back
Top Bottom