Naomba kujifunza kuhusu biashara ya kuuza vifaa vya stationery

Mgaya D.W

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
965
475
Poleni na mihangaiko ya kutwa wakuu, napenda kujifunza toka kwenu mambo kadhaa juu ya biashara ya stationaries, kifupi nataraji kuanzisha kampuni ya ununuzi na uuzaji wa bidhaa hasa stationery material huko mkoani, lakini natambua ktk jukwaa kuna wataalam na wazoefu wa shughuli hizi, napenda kujifunza toka kwenu pia nipo tayari kukosolewa pale ninapokuwa nje ya mstari, machache nayopenda kufaham toka kwenu ni haya:

a. Ni taratibu gani ambazo mtu anaetaka kufungua kampuni ya biashara hii

b. Je, ni taratibu gani zinapaswa kufuatwa ili kukidhi kuagiza bidhaa nje ya nchi?

c. Je, ununuzi bidhaa nje ya nchi kwa online ni njia njema na vipi kuhusu usalama wake?

d. Ni mtaji kiasi gani unaweza kuwa reasonable kuanza biashara hii?

e. Je, ni viwanda gani vya ndani au nje ya nchi hutengeneza bidhaa zenye ubora na kwa bei nzuri?

f. Nimewahi kuona mahali kuwa ili biashara hii ipate mafanikio vema kujiunga na gspa government supplying procurement agent je taratibu zikoje kwa namna ya kujiunga?

g. Bei ya machine kama plotter kwaajili ya printing ya image kubwa kama a.o ni bei gani? na mwisho mnifunze yote muhimu mlonayo juu ya biashara hii.

Natanguliza shukrani na muumbaji awatie nguvu.

Karibuni
 
a)ni taratibu gani ambazo mtu anaetaka kufungua kampuni ya biashara hii
Taratibu za kuanzisha kampuni kwa biashara hii ni kama biashara nyingine yoyote.., (tengeneza memorundum and articles of association) ambapo kutakuwa na list ya shareholders then unasajili kampuni yako for more info..
How to Start and Register a Company in Tanzania

b)je,ni taratibu gani zinapaswa kufuatwa ili kukidhi kuagiza bidhaa nje ya nchi?
Hapa hakikisha tu unanunua from reliable sources (matapeli ni wengi), pia hakikisha una clearing and forwarding agent mzuri wa ku-clear mizigo yako, pia kuwa careful na customs (hakikisha una estimation ya ushuru ni kiasi gani na hata kama ukishajua ni kiasi gani huenda bado waka-uplift na ukajikuta unalipa zaidi, pia kuna issue ya mizigo kuchelewa n.k. (kama unaweza bora mizigo yako ipitie Kenya) hapa am assuming sababu utakuwa unaagiza mizigo mingi labda utakuwa unatumia meli na nina-assume nje unamaanisha nje ya Africa (ingawa anagalia na nchi za karibu Kenya na Uganda huenda bei ikawa competitive)

c. je,ununuzi bidhaa nje ya nchi kwa online ni njia njema na vipi kuhusu usalama wake?
The rule is the same (if the deal is too good to be true, it is too good to be true.., ili kuepuka kuibiwa nunua kwenye big companies ambazo zimeshafanya biashara more than 3 yrs (wezi wengi online wanafungua website na kuibia watu na baada ya kama mwaka wanabadilisha website / account, pia kama utapata supplier mzuri mmoja (this takes time baada ya kudeal nae mara nyingi) unaweza kumtumia kama yupo nchi hio ili akuangalizie kama such company exists.., pia sometime kama kampuni ni wezi na wameshafanya kazi more than a year.., google jina lao na weka neno scam.., sababu kama ni wezi its more than likely walishamtapeli mtu before.

d. ni mtaji kiasi gani unaweza kuwa reasonable kuanza biashara hii?
depends mkuu ila nakushauri badala ya kuanza kuagiza mizigo na kuingia costs kwanza tafuta soko la uhakika.., je ni kweli una contact za kuweza kupata tender.., sababu siku hizi unakuta watu wa manunuzi wanakuwa na watu wao nje alafu wanajipa shavu.., au bila kuwapa 10% hawakupi kitu inabidi kula nao.., na ukipata malipo mpaka kuja kupata cheki yako ni mikono mingi itategwa.., ila kama contact unazo unaweza ukaanza tu kwa kuchukua mizigo hata nchini hapa au hata unakuwa hauna stock kama wanataka usupply kitu unakwenda kununua na kupata commission yako.

Sababu kuna vitu kama karatasi nilifanya research ya haraka haraka karatasi CIF (Cost Including Freight) ya ream moja ya karatasi mpaka kufika dar ilikuwa ni 2.5usd hapo haujatoa ushuru.., na hii ni bei ya 20ft container ambapo kuna reams kama 7800, now ni kweli kwamba karatasi hizi zikifika utauza bila matatizo, ila utaona kwamba ni mtaji mrefu kidogo wakati ungeweza kuchukua mzigo hapa hapa kwanza na ku-supply kwa faida ndogo wakati bado unajenga jina (ila kumbuka hawa jamaa wengine kwenye hizi tender ni wagumu sana kulipa, it takes time)

e. je,ni viwanda gani vya ndani au nje ya nchi hutengeneza bidhaa zenye ubora na kwa bei nzuri?
Bidhaa nyingi za stationaries zinatoka nje, watu wa mikoani wanatoa Nairobi au Dar.., ila kwa bei nzuri zaidi vitu kama karatasi wanatoa China, au South Africa, na wengine wanatoa Dubai all in all kwa kuanza nakushauri chukua tu nchini soko likiwa kubwa unaweza kuanza kuagiza.. (cha muhimu sio bidhaa na hizo tender kama unaweza kuzipata)

f. nimewahi kuona mahali kuwa ili biashara hii ipate mafanikio vema kujiunga na gspa government supplying procurement agent je taratibu zikoje kwa namna ya kujiunga?
Sina uhakika kuhusu hilo ila angalia hapa kwenye site yao Government Procurement Services Agency
ila am sure unaweza kuanza polepole mengine hayo utafanya as you grow

g. bei ya machine kama plotter kwaajili ya printing ya image kubwa kama a.o ni bei gani? na mwisho mnifunze yote muhimu mlonayo juu ya biashara hii. natanguliza shukrani na muumbaji awatie nguvu.karibuni

Kuhusu plotter jaribu kuangalia ebay au ulizia Kenya as well as for indication of price angalia hapa

Plotter-Plotter Manufacturers, Suppliers and Exporters on Alibaba.com

ila before investing heavily angalia soko lako kwanza kama kweli wateja wapo wa kutosha sehemu ulipo.., as I know wengi wanaotumia plotters ni ma-architecture wengi ambao wengi wanazo plotter zao.., ila you know your market angalia kama unaona kuna wateja wengi na bei utakayowacharge for printing after the cost of consumables itakuchukua muda gani ku-break even
 
Taratibu za kuanzisha kampuni kwa biashara hii ni kama biashara nyingine yoyote.., (tengeneza memorundum and articles of association) ambapo kutakuwa na list ya shareholders then unasajili kampuni yako for more info..
How to Start and Register a Company in Tanzania

Hapa hakikisha tu unanunua from reliable sources (matapeli ni wengi), pia hakikisha una clearing and forwarding agent mzuri wa ku-clear mizigo yako, pia kuwa careful na customs (hakikisha una estimation ya ushuru ni kiasi gani na hata kama ukishajua ni kiasi gani huenda bado waka-uplift na ukajikuta unalipa zaidi, pia kuna issue ya mizigo kuchelewa n.k. (kama unaweza bora mizigo yako ipitie Kenya) hapa am assuming sababu utakuwa unaagiza mizigo mingi labda utakuwa unatumia meli na nina-assume nje unamaanisha nje ya Africa (ingawa anagalia na nchi za karibu Kenya na Uganda huenda bei ikawa competitive)

The rule is the same (if the deal is too good to be true, it is too good to be true.., ili kuepuka kuibiwa nunua kwenye big companies ambazo zimeshafanya biashara more than 3 yrs (wezi wengi online wanafungua website na kuibia watu na baada ya kama mwaka wanabadilisha website / account, pia kama utapata supplier mzuri mmoja (this takes time baada ya kudeal nae mara nyingi) unaweza kumtumia kama yupo nchi hio ili akuangalizie kama such company exists.., pia sometime kama kampuni ni wezi na wameshafanya kazi more than a year.., google jina lao na weka neno scam.., sababu kama ni wezi its more than likely walishamtapeli mtu before.

depends mkuu ila nakushauri badala ya kuanza kuagiza mizigo na kuingia costs kwanza tafuta soko la uhakika.., je ni kweli una contact za kuweza kupata tender.., sababu siku hizi unakuta watu wa manunuzi wanakuwa na watu wao nje alafu wanajipa shavu.., au bila kuwapa 10% hawakupi kitu inabidi kula nao.., na ukipata malipo mpaka kuja kupata cheki yako ni mikono mingi itategwa.., ila kama contact unazo unaweza ukaanza tu kwa kuchukua mizigo hata nchini hapa au hata unakuwa hauna stock kama wanataka usupply kitu unakwenda kununua na kupata commission yako.

Sababu kuna vitu kama karatasi nilifanya research ya haraka haraka karatasi CIF (Cost Including Freight) ya ream moja ya karatasi mpaka kufika dar ilikuwa ni 2.5usd hapo haujatoa ushuru.., na hii ni bei ya 20ft container ambapo kuna reams kama 7800, now ni kweli kwamba karatasi hizi zikifika utauza bila matatizo, ila utaona kwamba ni mtaji mrefu kidogo wakati ungeweza kuchukua mzigo hapa hapa kwanza na ku-supply kwa faida ndogo wakati bado unajenga jina (ila kumbuka hawa jamaa wengine kwenye hizi tender ni wagumu sana kulipa, it takes time)

Bidhaa nyingi za stationaries zinatoka nje, watu wa mikoani wanatoa Nairobi au Dar.., ila kwa bei nzuri zaidi vitu kama karatasi wanatoa China, au South Africa, na wengine wanatoa Dubai all in all kwa kuanza nakushauri chukua tu nchini soko likiwa kubwa unaweza kuanza kuagiza.. (cha muhimu sio bidhaa na hizo tender kama unaweza kuzipata)

Sina uhakika kuhusu hilo ila angalia hapa kwenye site yao Government Procurement Services Agency
ila am sure unaweza kuanza polepole mengine hayo utafanya as you grow

Kuhusu plotter jaribu kuangalia ebay au ulizia Kenya as well as for indication of price angalia hapa

Plotter-Plotter Manufacturers, Suppliers and Exporters on Alibaba.com

ila before investing heavily angalia soko lako kwanza kama kweli wateja wapo wa kutosha sehemu ulipo.., as I know wengi wanaotumia plotters ni ma-architecture wengi ambao wengi wanazo plotter zao.., ila you know your market angalia kama unaona kuna wateja wengi na bei utakayowacharge for printing after the cost of consumables itakuchukua muda gani ku-break even

Mkuu umenisaidia mno nakushukuru na ubarikiwe kwa moyo wako wa kujitoa.
 
Nakushukuru mno kaka,wazazi wako wapate maisha marefu ili wajivunie matunda ya kuzaa chema.nimefarijika mno kwa namna ulivyonipa muongozo kwa swali moja hadi jingine.im proud to be part of u guys.

Nnimekuelewa vizuri mno ntapenda kujua makampuni ambayo hujihusisha na uuzaji wa bidhaa za stationery kwa hapa kwetu ili niweze kupata pa kuanzia kabla sijafocus nje as umenishauri nitizame market kwanza.pia kama nitapata makampuni yanayotengeneza bidhaa Kenya, Dubai, China na south africa itanisaidia.

Kwakuwa eneo ambapo nataka kuwekeza ni centre ya wilaya tatu ambapo serious investor ktk biashara hii cjamwona.so i want niwe supplier pia kwa other stationiers there.thats nimefocus kuona pia urahisi upo kuchukua dar ama nje.bt naomba kufaham makampuni au viwanda vya ndani ambavyo vinauza quality products kwa bei nzuri ili nika bkock customers badala ya kufuata bidhaa dar waje pale kwa coverage ya eneo ninapotegemea kuwekeza.tafahali natanguliza shukrani kaka.
 
nakushukuru mno kaka,wazazi wako wapate maisha marefu ili wajivunie matunda ya kuzaa chema.nimefarijika mno kwa namna ulivyonipa muongozo kwa swali moja hadi jingine.im proud to be part of u guys.nimekuelewa vizuri mno ntapenda kujua makampuni ambayo hujihusisha na uuzaji wa bidhaa za stationery kwa hapa kwetu ili niweze kupata pa kuanzia kabla sijafocus nje as umenishauri nitizame market kwanza.pia kama nitapata makampuni yanayotengeneza bidhaa kenya,dubai,china na south africa itanisaidia.kwakuwa eneo ambapo nataka kuwekeza ni centre ya wilaya tatu ambapo serious investor ktk biashara hii cjamwona. So I want niwe supplier pia kwa other stationiers there.

Thats nimefocus kuona pia urahisi upo kuchukua dar ama nje. but naomba kufaham makampuni au viwanda vya ndani ambavyo vinauza quality products kwa bei nzuri ili nika bkock customers badala ya kufuata bidhaa dar waje pale kwa coverage ya eneo ninapotegemea kuwekeza. Tafahali natanguliza shukrani kaka.

Nadhani kwa mambo madogo madogo Dar utapata (ingawa kwa vitu kama karatasi margins ni ndogo sana, ila vitu kama madaftari, pens n.k.) nadhani fanya research hapo dar maduka tofauti ya jumla (sababu kuna watu wanaingiza makontainer kutoka nje ya nchi na wewe unaweza kununua jumla kwao, hivyo ni vema ukazunguka sehemu tofauti unaweza ukapata deals.

Kwa kuanzia angalia zamzam supermarket Dar, na masumin nadhani unaweza ukapata baadhi ya vitu kwa bei nzuri alafu unapakia mzigo kwenye malori mpaka sehemu ulipo, kwahio zunguka sehemu tofauti Dar vitu ni bei rahisi kuliko mikoani.., na mambo kama catridges, toner, na consumables za printer dar nadhani utapata (ila kwanza fanya window shopping au kama unamjua mtu dar mwambie mpe vitu unavyotaka kununua, na mwambie azunguke sehemu tofauti na kuangalia bei) kwa kuanza kudeal na wauzaji wa nchini itasaidia sababu utaepuka mambo ya customs na clearing headaches, ila ukishapata wateja unaweza kuanza kuleta container zako mwenyewe na hapo margin kuongezeka.
 
Back
Top Bottom