Naomba kujibiwa

Hassani

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
698
1,117
Hivi ni nini maana ya mwanasheria?.Je kuna kiwango cha elimu mtu anatakiwa afikie katika hiyo sheria ili aitwe mwanasheria?,Je watu wote wanaofanya kazi katika field hiyo ya sheria hata kama wana basic certificates ni wanasheria?..Naombeni kufafanuliwa kwa yeyote anayejua hili
 
Back
Top Bottom