Naomba kujibiwa maswali haya kuhusu kanisa la KKKT

Sawa mkuu lkn ninajua hapa JF nitapata majibu mazuri tu pia na ninajua siku zote wadau ndiyo wanajua zaidi kuliko wahusika, kumbuka mwamba ngozi uvutia kwake.
Lutheranism is a major branch of Protestant Christianity which identifies with the theology of Martin Luther (1483-1546), German friar, ecclesiastical reformer and theologian. ... In addition, Lutheranism accepts the teachings of the first four ecumenical councils of the undivided Christian Church.
 
Habari ndg?

Kwa kipindi kirefu sana nimeshindwa kuwa mshirika wa dini, iwe Kristo/Islamic, niliamua tu niwe mpagani na kuitumia siku ya Jumapili Kama siku ya kufanya mambo yangu mengine kuliko kwenda kanisani, lakini siku zote wakati hausimami imefikia wakati sasa wa Mimi kumrudia Mungu wangu na kutii maagizo yake na kushiriki na ndugu zangu wengine katika meza ya bwana.

Nimeamua kuwa mshirika wa kanisa la KKT lakini kabla ya kushiriki huko kuna mambo machache nilitaka kuyajua kuhusu hili dhehebu kabla ya kuanza kutii uamuzi wangu wa kushiriki Ibada kila siku, maswali yenyewe ni Kama ifuatavyo:-

1. Hili kanisa lilianzishwa mwaka gani?

2. Hili kanisa lilianzishwa na nani (Kikundi cha watu, Kiogonzi wa Koo fulani au kiongozi wa inchi au mtu tu fulani aliyekuwa na umaarufu Duniani.

3. Nini mchango wake katika Jamii zetu?
Kuna huduma zozote ambazo washirika wake wanafaidika na uwepo wa hili dhehebu?

4. Nini mapokeo yake katika jamii?

5. Hakuna ule ujanja ujanja Kama tunavyoona kwa jirani zetu wengine,
Na wewe km muhumini wa dhehebu ili au mshirika wa dhehebu lingine una lipi unalolifaham jema au baya kuhusu KKKT?

Ahsanteni na samahani kwa uandishi mbaya.
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ni muungano wa Kilutheri katika nchi ya Tanzania.

Mwaka 1938 makanisa saba ya Kilutheri yaliungana kama Muungano wa Makanisa ya Kilutheri, na tarehe 19 Juni 1963 yalikuwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania.[1]

Lengo la KKKT ni kuwapa watu nafasi ya kumfahamu Yesu Kristo ili kupata uzima wa milele. Kanisa limejengwa juu ya msingi wa Yesu Kristo, linaongozwa na Neno la Mungu kama linavyopatikana katika Agano la Kale na Agano Jipya (Biblia ya Kikristo), na limeimarishwa katika sakramenti.

KKKT linaongozwa na Mkuu wa kanisa (Askofu Mkuu) na maaskofu ishirini na nne kutoka dayosisi ishirini na nne, wakiwa na wanachama zaidi ya milioni 6,3 wanaolifanya kuwa la pili duniani kati ya makanisa ya Kilutheri (baada ya lile la Uswidi).

Ofisi kuu ya KKKT iko katika mji wa Arusha.

KKKT lina uhusiano na All Africa Conference of Churches (AACC), Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Lutheran World Federation (LWF) na Lutheran Mission Cooperation (LMC).

KKKT ni chama kinachowapa wanachama chake nafasi ya kumwabudu Mungu, kupata elimu ya Kikristo na huduma nyingi nyingi
 
Kwa uelewa zaidi Martin Luther alikuwa Padri wa Catholic wakati huo mapadri pekee ndiyo waliruhusiwa kusoma biblia aliisoma sana biblia ba kuielewa kuondoka katika kanisa la roma ni pale mwaka 1400's akipoalikwa Roma kwa mara ya kwanza wakati huo watafuta hela kwa njia yoyote kulijenga kanisa la St Peters yeye alipofika alipanda ngazi za kanisa kwa magoti kilichomshangaza baada ya kufika alipigwa kumbo na padri mwenzake kalewa chakari alipomuuliza akatoa cheti alichonunua cha kusamehewa dhambi yeye alipinga kwa maandiko ya biblia kitendo kile wenzake wakammaindi wakataka kumuua usiku ule akatoroka akarudi ujerumani lakini alibandika vifungu 95 vya maandiko ya biblia katika ukuta wa kanisa vinavyopinga kuondolewa dhambi na pope na aliporudi ujerumani alichapisha vitabu na kuiweka biblia wazi kwa watu wote kitendo kilichotafsriwa na pope kuwa ni uasi na kumtafuta sana ili wamuue lakini walishindwa kumpata na kwa kuwa aliwafundisha waumini ukweli wa biblia wengi walimfuata na kujitenga rasmi na kanisa la Roma na kuanzisha kanisa la Lutheran ambalo msingi wake mkuu ni kuwa,'Imani bila matendo mema ni imani iliyokufa' hatua hii ilifuatia mapadre wengi kutoka nchi mbalimbali duniani kumfuata na kujenga kanisa kubwa sana baada ya Roma ambapo mafundisho yake yanafuata neno la mungu kama lilivyoandikwa kwenye biblia
Kanisa la Anglican lilianzishwa baada ya mfalme wa uingereza kumtaliki mkewe na kutaka kufunga ndoa nyingine alipokataliwa ndiyo akalitenga kanisa la uingereza na kuliweka chini yake kama mkuu wa kanisa kutimiza azma yake
Kanisa lina huduma nyingi sana KCMC hospt Hosp. Kubwa inayojengwa Dodoma Chuo kikuu Tumaini nchi nzima shule hospitali za rufaa zahanati mahoteli na iihosteli za kutosha n k

Pia ni kanisa la kwanza la Evangilist uinjilisti kuanzishwa duniani yaliyofuata ni ya kipentekoste na kisabato

Kwa ufahamu zaidi kuhusu kanisa tembelea kanisa la Kutheran au kwa TZ yako chini ya KKKT au kanisa la kiinjili la kiluteri Tanzania lililo karibu au tafuta kitabu cha Furahini katika Bwana kinachopatikana katika Bookshop za kanisa hiki kinatumika kufundishia watoto kwa miaka 2 kabla ya kupimwa na kupewa kipaimara kana mimi karibu sana
 
Ahsante kwa swali la ufahamu. Kwa faida yako na wengine wenye maswali kama yako na kuzidi nenda maeneo mawili haya upakue mwenyewe.
www.elct.org
Halafu kwenye wikipendia andika historia ya KKKT utapata maelezo, muundo na taasisi za Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania.
 
1. lilianza mwaka 1800's.
2. alianzish martin luther baada ya kutofautiana na viongozi wake wa dini. roman catholickuhusu wokovu.
3. kusema kwa huduma za jamii wanajitahid baada ya rc wanafuatia wao kwa madhehebu wana shule hospital na vyuo vikuu
4. ni dhehebu kubwa linapokelewa vizuri na jamii baada ya rc wanafuatia kuwa na waumini wengi
5. ujanja unategemea na eneo ulipo ila wana regulation nzuri sadaka sio mali ya mtu ni ya kanisa na mnasomewa mapato na matumizi

japo mie mpagani naamini nimekusaidia kujibu
Mkuu fuatilia historia yako, Kanisa la Kilutheri lilianza mnamo miaka ya 1560-1600.
 
Habari ndg?

Kwa kipindi kirefu sana nimeshindwa kuwa mshirika wa dini, iwe Kristo/Islamic, niliamua tu niwe mpagani na kuitumia siku ya Jumapili Kama siku ya kufanya mambo yangu mengine kuliko kwenda kanisani, lakini siku zote wakati hausimami imefikia wakati sasa wa Mimi kumrudia Mungu wangu na kutii maagizo yake na kushiriki na ndugu zangu wengine katika meza ya bwana.

Nimeamua kuwa mshirika wa kanisa la KKT lakini kabla ya kushiriki huko kuna mambo machache nilitaka kuyajua kuhusu hili dhehebu kabla ya kuanza kutii uamuzi wangu wa kushiriki Ibada kila siku, maswali yenyewe ni Kama ifuatavyo:-

1. Hili kanisa lilianzishwa mwaka gani?

2. Hili kanisa lilianzishwa na nani (Kikundi cha watu, Kiogonzi wa Koo fulani au kiongozi wa inchi au mtu tu fulani aliyekuwa na umaarufu Duniani.

3. Nini mchango wake katika Jamii zetu?
Kuna huduma zozote ambazo washirika wake wanafaidika na uwepo wa hili dhehebu?

4. Nini mapokeo yake katika jamii?

5. Hakuna ule ujanja ujanja Kama tunavyoona kwa jirani zetu wengine,
Na wewe km muhumini wa dhehebu ili au mshirika wa dhehebu lingine una lipi unalolifaham jema au baya kuhusu KKKT?

Ahsanteni na samahani kwa uandishi mbaya.
Wewe acha kujitoa ufahamu kanisa na mapokeo ya mtu na mwili wako ndio hekalu la Mungu hata ukalale pale kwenye mimbari usiku na mchana kama imani yako na matendo yako hayampendezi Mungu ni kitu bure, ukitaka kujua yote kuhusu kanisa ulilochagua nenda usharika uliochagua kusali kuna viongozi watakupa Muongozo halafu wewe unaonekana hata kipaimara hukupitia wewe Mungu hajaribiwi.
 
1. lilianza mwaka 1800's.
2. alianzish martin luther baada ya kutofautiana na viongozi wake wa dini. roman catholickuhusu wokovu.
3. kusema kwa huduma za jamii wanajitahid baada ya rc wanafuatia wao kwa madhehebu wana shule hospital na vyuo vikuu
4. ni dhehebu kubwa linapokelewa vizuri na jamii baada ya rc wanafuatia kuwa na waumini wengi
5. ujanja unategemea na eneo ulipo ila wana regulation nzuri sadaka sio mali ya mtu ni ya kanisa na mnasomewa mapato na matumizi

japo mie mpagani naamini nimekusaidia kujibu
Huyu jamaa kaja kusikilizia humu hana lolote
 
Mimi mambo ya dini haya nakushauri achana nayo, hakuna dini ya kweli. Ni wanadamu hao wametengeza mfumo wa kutawala watu. Siamini kabisa katika hayo makitu.
 
1. lilianza mwaka 1800's.
2. alianzish martin luther baada ya kutofautiana na viongozi wake wa dini. roman catholickuhusu wokovu.
3. kusema kwa huduma za jamii wanajitahid baada ya rc wanafuatia wao kwa madhehebu wana shule hospital na vyuo vikuu
4. ni dhehebu kubwa linapokelewa vizuri na jamii baada ya rc wanafuatia kuwa na waumini wengi
5. ujanja unategemea na eneo ulipo ila wana regulation nzuri sadaka sio mali ya mtu ni ya kanisa na mnasomewa mapato na matumizi

japo mie mpagani naamini nimekusaidia kujibu
La mwisho KKKT wana toa cheti cha safari ukiwa unasafiri unaenda ugenini na ukifika huko ukakosa pesa ya kulala gesti au hoteli unaenda kwenye ofisi ya kanisa sehemu uliofikia na kuwaonesha cheti cha safari wanakutafutia sehemu ya kulala .

Only KKKT
 
Kwa huu upotoshaji unategemea kuvuna nini? Haipendezi mkuu.
 
Habari ndg?

3. Nini mchango wake katika Jamii zetu?
Kuna huduma zozote ambazo washirika wake wanafaidika na uwepo wa hili dhehebu?

4. Nini mapokeo yake katika jamii?

Ahsanteni na samahani kwa uandishi mbaya.

Kanisa (Dhehebu) kubwa kabisa la Kilutheri barani Afrika lenye waumini wengi linapatikana Tanzania. Na lilizinduliwa mara ya kwanza nchini, sehemu za Usambara, Tanganyika. Pia Tanzania ndiyo kitovu katika kueneza kazi ya Uinjilisti na kanisa la Kilutheri katika nchi za Kenya, Rwanda, Congo DRC n.k katika karne ya 20 na 21.

Koo kubwa za Uchagani, Haya, Pare, Zaramo, Waarusha, Nyaturu, Usambaa zafahamika kwa kuchangia kukua kwa Kanisa la KKKT, koo hizo ni Kibira, Msechu, Moshi, Nkya, Laiser, Moshi n.k

Shule kama Ilboru , hospitali na Vyuo vya Elimu ya Juu (Askofu Dk. Stefano Moshi/ Askofu Dk. Josiah Kibira) ni mojawapo ya michango ya KKKT kwa jamii. Mawasiliano na habari Gazeti la ''Amani na Uhuru la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania http://www.elct.org/uhuru-na-amani/uhuru-na-amani.2013.02.pdf

Tanzania Jubilee - Historia ya Kanisa la Kilutheri / History of the Lutheran Church

Source:
Courtesy of Tim Frakes Productions http://www.frakesproductions.com/

C.c. Sky Éclat ; Cilla ; Nzalendo ; HOMOSAPIEN
 
lakini siku zote wakati hausimami imefikia wakati sasa wa Mimi kumrudia Mungu wangu na kutii maagizo yake na kushiriki na ndugu zangu wengine katika meza ya bwana-MUNGU harudiwi kwa kwenda kanisani mkuu!
 
Nakuomba mh Nape, fungia kila media lakini JF iache tu. Ni mahali ukiwa na stress zako ukizama humu tiyari uchovu unakwisha kwa hayo utakayosoma, Fikiri neno "usinizambishe" Jamani, misamiati mingine kwangu mipyaaaaaa.
 
Back
Top Bottom