Naomba kufahamu mikoa iliyopo tanzania

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
Rejea kichwa cha habari hapo juu,naomba mnisaidie kufahamu hivi sasa Tanzania kuna mikoa mingapi?Nauliza hivyo kwasababu niajuavyo mimi kuna mikoa 25;lakini kuna jamaa yangu mmoja kaniambia imeongezeka kufikia 27 hadi hivi sasa.
Kama ni hivyo naomba mnisaidie hii mikoa iliyoongezeka ni ipi?
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wanajamii wote popote walipo.
 
Mkuu umepotea sana...karibu tena....Nyerere aliacha 25
Arusha
Mtwara
Ruvuma
Dodoma
Kagera
Shinyanga
Kigoma
Lindi
Iringa
Morogoro
Kilimanjaro
Mwanza
Pemba North
Pemba South
Pwani
Dar es Salaam
Rukwa
Mara
Singida
Tabora
Mbeya
Tanga
Zanzibar North
Zanzibar Urban/West
Zanzibar Central/South




Mkapa na Sumaye wakaongeza 1(Manyara)...Mkwere & Co wameleta 4 Mpanda,Geita,Njoluma na Simiyu hivo ipo 30...mingine yaja:

tanzania-political-map.jpg
 
Nashukuru,ila sasa hii Njoluma na Simiyu iko sehemu gani ya Tanzania.Kwangu mimi ni mara ya kwanza kusikia hizi sehemu hebu nielewesheni jamani!
 
Nashukuru,ila sasa hii Njoluma na Simiyu iko sehemu gani ya Tanzania.Kwangu mimi ni mara ya kwanza kusikia hizi sehemu hebu nielewesheni jamani!

Njoluma wamechukua wilaya ya njombe iliyoko iringa na sehemu na mkoa wa ruvuma kuunda mkoa mpya, simiyu sijui
 
Njoluma wamechukua wilaya ya njombe iliyoko iringa na sehemu na mkoa wa ruvuma kuunda mkoa mpya, simiyu sijui

Njoluma(Njombe,Ludewa na Makete)
Simiyu (ni mto unaoingia Ziwa Victoria baada la Lamadi ukipita wilaya za Serengeti,Bariadi,Maswa na Magu hivo hizi wilaya zimemegwamegwa kuunda huo mkoa kwa influence ya Chenge)
 
Njoluma imejumuisha wilaya za; Njombe, Ludewa na Makete, kusini ya Iringa. Hata hivyo Mkoa unaitwa NJOMBE. na makao makuu yatanzia Pale block T, mahali ninapokamilishwa jengo NNSF. Njia ya Kuingi katka hoteli ya ARM; Njombe Mjini. barabara iendayo Songea.
 
Back
Top Bottom