naomba kufahamishwa ujasiliamali kupitia mobile application

apprentice1997

Senior Member
Jun 8, 2016
107
99
Habari za jumapili wadau, nimevutiwa na solo la mobile application na ninaamini hii ni moja ya teknolojia inayoweza kukuingizia kipato. Ninaomba kufahamishwa endapo nitaamua. kutengeneza aapplication ambayo itatoa Huduma kwa jamii (social entrepreneurship) ninatamani kujua ni njia gani itaniingizia kipato hata kama Hii application itatoa Huduma bure bila mteja kulipia na kama mteja atalipia. Ninaomba kujua njia rahisi ambayo inaweza kutengeneza application ambayo itatoa taarifa ambazo ni notes za masomo kwa wanafunzi wa secondary, ningependa uchambuzi huu ufanyike kwa kuzingatia vigezo vya njia mbalimbali zinazotumika kutengeneza application ambazo zinaweza kuwa native au hybrid.
Mwisho kwa kuzingatia Kuwa ninataka kutengeneza app ambayo itaunganisha name database mtandaoni je nitengeneze native app au hybrid app. Nina ujuzi wa HTML, CSS na JavaScript, ninatamani kutumia ujuzi huu kutengeneza app ila bado ushauri wenu ni muhimu ili niweze kujua kama itanipasa kujifunza java ili niweze kufanikisha lengo language. Asanteni nawasilisha
 
Kwa kifupi mkuu utahitaji java, there's no way yo can escape that!!! ukiwa na java uki plus na hizo script languages3 nadhani utatoa kitu cha maana, binafsi nataka anza jifunza java!!!
 
Asante, Kama unataka kujifunza java check codecademy.com
 
Back
Top Bottom