Naomba kuelimishwa

NKYALU

Member
Apr 6, 2011
18
7
Hivi karibuni kumekuwa na mambo yanayonipa shida kidogo. Utakuta bendi ya muziki inatangaza kuwa itapiga shoo mahali fulani na shoo hiyo itakuwa mpaka majogoo (karibu na asubuhi). Cha kushangaza ni pale wanaposema wakubwa 5,000/= na watoto 1,000/=. Hivi watoto siku hizi wanaruhusiwa shoo za namna hii? Naomba kuelimishwa.
 
maisha mafupi silu hizi chief so sio vibaya nao wakaanza kulambalamba maisha kidogo....lakini ikifika mahali wale wanenguaji kumogoka viuno vya hali ya juu wazazi wawazibe macho tu watoto tu!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom