Naomba kuelimishwa NOKI N98

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
354
naomba kufundishwa jinsi ya kutumia kamera ya mbele ya N95,kwani ninamdamrefu sijapata ufumbuzia hadileo.naomba elimu wakuu.
 
unapofungua camera ,bonya option alafu secondry camera. ukitaka kurudisha ya nyuma basi utabonya option tena na chagua main camera
 
kazi ya hiyo camera kubwa ni video call.
kutest eka simu 3g tafuta mtu ambaye naye ana simu yenye camera ya mbele andika namba yake bonyeza option then video call. Mtaongea huku mnaonana

Kazi nyengine ni kama hivo kujipiga picha kwa kuchagua front camera kama alivoelezea acha hasira na kutumia kwenye app mbal mbal kama games
 
Nashukuru mkuu!nikiselect secondary camera,napata maelezo haya.unexpected erro occurred.power off your device and restart. Nifanyeje?
 
Back
Top Bottom