Naomba kuelimishwa kuhusu "BRUTE FORCE"

Ninaface matatizo mawili..la kwanza ni jinsi ya kupata hizo data..na kama nikishindwa tatizo linalokuja ni jinsi ya kuitoa hii software na kuirudisha..kabla hujaiunstall inauliza password pia..hapo ndo kimbembe
 
Back
Top Bottom