Naomba kueleweshwa..

wanasea kuwa eti wanawake ni wambea na wanaume watakuchangia mawazo ya kimaisha kuliko wanawake wenzao
 
We tatizo lako liko wapi?
Nna marafiki watatu tu wa kike nnaowaamini na nnaoweza kuwaeleza mambo yangu, omba ushauri n.k (tena wawili kati yao ni ndugu). Ila wavulana nna zaidi ya sita na wote nawaamini na mambo yangu, japo sina undugu na hata mmoja wao. Wanaume hawawaonei wivu wanawake (labda kama ni wale wambea wambea wasioisha maneno), hawageuzi wanayoambia na kwenda kutangaza kwingine, wasikilizaji na wafariji wazuri, washauri wazuri maana hawapati raha yoyote kuona nikielekea siko, hawazunguki marafiki zao na ni wawazi.Akikasirika/boreka na mimi atanipa live badala ya kunichekea kinafiki, kwahiyo wewe kama una tatizo na hilo endelea tu maana habari ndio hiyo. Some men make better friends than women, luckily I have found some in both genders.
 
Sijasema usiwe nao lizzy,you get me wrong.
 
Kua na rafiki wakiume mie nimeshazowea sababu wengi wao wanakuelimisha na mnapeana mawazo kuliko mwanamke mwenzio,
kwa upande wangu naona fahari hasa kwa marafiki niliokua nao na Mungu aniweke tuzidi kuelewana na kuheshimiana....
 
back to urafiki.

Urafiki hauombwi, sijawahi ona mtu katuma maombi ya urafiki its simply a special connection na mtu with understanding, loyalty and trust.

I can be friend na yeyote as long as kuna connection sijali jinsia. Though men are know to be loyal to female frinds sababu haihusishi masuala ya pesa mara nyingi ila hela ikiingia loyalty ya mwanaume huingia mashakani

Sasa sijaelewa kinakuchanganya nini kwa huyo dada.
 
We tatizo lako liko wapi?
Nna marafiki watatu tu wa kike nnaowaamini na nnaoweza kuwaeleza mambo yangu, omba ushauri n.k (tena wawili kati yao ni ndugu). Ila wavulana nna zaidi ya sita na wote nawaamini na mambo yangu, japo sina undugu na hata mmoja wao. Wanaume hawawaonei wivu wanawake (labda kama ni wale wambea wambea wasioisha maneno), hawageuzi wanayoambia na kwenda kutangaza kwingine, wasikilizaji na wafariji wazuri, washauri wazuri maana hawapati raha yoyote kuona nikielekea siko, hawazunguki marafiki zao na ni wawazi.Akikasirika/boreka na mimi atanipa live badala ya kunichekea kinafiki, kwahiyo wewe kama una tatizo na hilo endelea tu maana habari ndio hiyo. Some men make better friends than women, luckily I have found some in both genders.

Hata mimi nina marafiki kadhaa wa kike, amboa ni ''just friends''. Japokuwa kuna watu bado wana mawazo mgando kwamba haiwezekani kwa watu wa jinsia tofauti kuwa marafiki tu. Ni mawazo yaliyopitwa na wakati katiak ulimwengu wa leo ambapo maisha ni mchakamchaka!
 
Hao unawapotezea tu, nakumbuka kuna mshkaji tulitokea kuwa marafiki shuleni yani kila mtu mpaka walimu walikua wanasema tuna mahusiano zaidi ya urafiki ila hatukujali tukawapotezea na sisi tukaendelea na urafiki wetu.Ukiwaignore baada ya muda watatulia wenyewe.
 
mimi marafiki zangu ni mainvisible tu wa humu jf sijui ni wanaume au wanawake ila nawaamini na nawapenda
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom