Naomba kueleweshwa! Ukweli ni upi?

Oct 22, 2010
78
0
Tafadhali sana wapendwa ningependa kama kuna mwenye kuujua ukweli wa nitakachoandika hapa anisaidie nipate kuujua.

Habari ni kwamba, nimepata kusikia mara kadhaa kwamba unaweza kujua size ya nyeti (uume/uke) wa mtu kwa kumuangalia tu umbo la mwili wake. Kwa mfano mwanaume mrefu anategemewa kuwa na uume mrefu na mwanaume mfupi uume mfupi. Sina tatizo sana kuamini hili kwani angalau kuna logic hapa.

Japokuwa bila shaka lazima kwa sababu kadha wa kadha wapo warefu wenye fupi na wafupi wenye ndefu. Tatizo langu kubwa ni kwa wanawake. Nasikia mwanammke mnene huwa na uke mdogo eti kwa sababu ya nyamanyama zake ambazo eti zinapunguza ukubwa wa k. Kwa upande mwingine mwanamke mwembamba eti huwa na k kubwa!

Jamani naomba tusaidiane katika hili. Ukweli ni upi?
 
mwanaume angalia dole gumba la mguu au kidole cha kati mkono,

mwanamke angalia mdomo tu,
 
mnh.... nilishawahi ona mfupi mwenye ndefu,kwa wengine sitawasemea:wink2:
 
mmmh! kwapa je?

KWAPA UTALIONAJE NA WEWE?
wakat apa utakuwa unamchunguza bila mwenyewe kujua km unajipimia ana size gan

mreeeeeefu mwembamba nyuma kapigwa pasi mwisho wa mgongo haujulikan km basha bas ujue manshalaaahh....kitu inakuwa ndefu na imeshiiba AU WAWEZA KUTA KAFICHA NYOKA WA KIJANI KITU KIREFUUUUUUUUUU CHEMBAMBA UTASEMA mnyororo wa kufungia NANGA

mnene +kitambi ndiii aaaahh kitu kiduuuchuuu...au waweza kuta k2kimenenepa tu lakin kifup km ngumi

mabaunsa mmh nehiii juu kajazia kama shozniga lakin kule hakuna issue..nyama zote zakimbilia juu...misuli yoote akinyanyua chuma inakimbilia juuu na kujijenga juu uku kwa babu kunabaki yatima..

size ya kati awa si mnene si mwembamba mrefu ahh balaaaa ..utarudisha chenji km si kutafuta kuchumpa dirishani...
usijiulize nimejuaje...MWALIMU WANGU WA NURSERY ALINIFUNDISHA.
nawasilisha
bacha tukutane pm nina neno nawe ..haraka sana...
 
mmmhhhhhh................watu wanakufa huko arusha........hizi uume na uke jamani!
 
mmmh!haya, unataka ujiridhishe kwa kuona kipimo chake au?
 
Hii habari hujaangalia mandhari ya kuileta. Sisi tunataka kusikia habari ya mapambano ya uhuru ya Arusha, Njia ya Moshi Arusha kufungwa, Waliokufa wangapi, Slaa na wengine wako wapi?
 
men often have a penis which matches the overall body structure or proportionate... tall = long, and long usually = more girth! There is no set rule, and DNA plays a huge part!

At the same time, there are shorter Dudes who have a long and huge penis too, so as much as tall means a proportionate penis. It doesn't mean that someone shorter will have a small penis.

On the between height of Dudes, it is so individual as to penis size, based on genetics, and very few Dudes really get short taken by nature!
 
Maumbile ya nje yasikutishe sio kweli ma dea kila kitu kipo kwa sababu na kudo si lazima iwe ndefu au fupi kikubwa ni kazi inayofanyika na matokeo yake
 
Back
Top Bottom