Naomba kueleweshwa kuhusu Tangazo la NACTE

msambinungwa

Member
Jun 28, 2014
97
11
Wakuu naomba mnitoe wasiwasi kuhusu hilotangazo la NACTE, nikweli ayo matokeo yatakayotoka yanahusu vyuo vyaualimu? au ni yavyuo vikuu tu?

Asanteni.
 
hebu weka link tuiyone mkuu.

ukiweka source ndo tutaelewa unachomaanisha!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom