Naomba kampani yenu

JOHN NYANGE

New Member
Mar 15, 2012
4
2
Hi Jf members.
Naombeni kampani yenu katika kutumia jukwa hili. Mimi ni mgeni kabisa ndo kwanza nimejiunga this week.

I hope ntajifunza mengi toka kwenu na wengine watajifunza meng toka kwangu.

pamoja sana waungwana

karibu kaka John, karibu sana kwenye jamvi la waungwana.
 
Hi Jf members.
Naombeni kampani yenu katika kutumia jukwa hili. Mimi ni mgeni kabisa ndo kwanza nimejiunga this week.

I hope ntajifunza mengi toka kwenu na wengine watajifunza meng toka kwangu.

pamoja sana waungwana

JOHN NYANGE
Bila shaka mkuu.
 
Back
Top Bottom