Naomba jujua uhusiano wa Zakia na JK make mengi yanasemwa

Sure, JK tanzania nzima ana watoto kama utitiri, mkwere huyu kwa kifimbo cheza ni balaa. Ni kweli Juzi kati akiwa kakalia kiti alimuoa mtoto wa Megji kwa siri kwa kisingizio cha dini, na mama megji ni kitu cha RA, upo hapoooo!!
CCM ni wachafu kuliko uchafu unaoujua kwamba ni uchafu, tuamke jamani tutafute mabadiliko kwa kasho wandugu nchi inaliwa kinominomi!!! kalagabaho!!:redfaces:

huu ni uzushi tu, uzushi unasaidia nini?
 
Uzuri wa JF ni kwamba, waleta hoja, watetea hoja na wapinga hoja huwezi kuwajua kwa usahihi sana. Wengine ni wahusika halisi wa hoja hizo (ama matuko hayo). Kuhusu habari za mahusiano ya watu wawili, unaweza kushangaa kwamba mtu anayesema fulani na fulani wana mahusiano ndiye mmiliki wa 'gesti' ama nyumba ambayo wahusika hukutana faragha.
Kwa pointi hiyo basi, ukisema mtu alete ushahidi kwa suala nyeti kama hilo inakuwa ngumu kiaina, kwa kuogopa KUPATILIZWA na wahusika, ingawa ukweli wanakuwa wanaufahamu.
 
Back
Top Bottom