Naomba Jibu

Si unajua ukiwa unawinda lazima utumie mbinu za medani wakati mwingine
Wife yuko tu, akininyima leo kesho atanipa
 
kamanda inategemea.... i think it is easier kumwambia wife i love you kuliko mtu wa nje; ila inategemea namna ya kutongozana...
sasa nimeanza kurudisha tabasamu langu, maana Rev alinifanya nianze kununa, eti haimaanishi!
 
It is easy because for men kupenda kweli kazi ipo ila mara nyingi emotions zao hua controlled na the Lust they feel, wakii name kama Love, ndio maana mara nyingi akisha lala nae neno nakupenda linakufa a natural death (na of course he is sleeping with the wife almost every day - hivo "I love you" inakua ilikufa na kuzikwa siku nyingi). At least that is what I think niki connect them dots.....


Umenisoma maandishi yangu! Rafiki zangu wengi hawataki kukubaliana na huu ukweli mchungu
 
Mchungaji ni wewe kweli?

It is easier to tell a girl friend AMA Kimeo kingine that" I love you" than a wife!! Hayo maneno ni magumu kuyatamka kwa demu uliyepigana Naye mikasi in men's perspective kwanini? I love you before I see your chupi n nyonyo ni rahisi !!! Saidia
 
It is easy because for men kupenda kweli kazi ipo ila mara nyingi emotions zao hua controlled na the Lust they feel, wakii name kama Love, ndio maana mara nyingi akisha lala nae neno nakupenda linakufa a natural death (na of course he is sleeping with the wife almost every day - hivo "I love you" inakua ilikufa na kuzikwa siku nyingi). At least that is what I think niki connect them dots.....

Si sawa sana, ila kutamka ni njia moja na kuishi kwa kupendana kwangu mimi ni committment ya mume na mke. Kulala nae my foot, kwani ndicho kilichopo tu kwenye ndoa. Anyway mimi ni wa miaka ya 1940 kwa hiyo uelewa wangu inawezekana ni tofauti sana na hali ya sasa.
 
Neno linategemea mnavyo ishi na mwenzio kama mnapigana is not easy to say "i love you"ila kwanini mchungaji usifunue biblia uone inasemaje kuhusu ili.
 
Nadhani wanaume watasema neno lolote lile kuingia ndani ya chupi ya mwanamke..
Especially kama kuna physical attraction fullani hivi, wanaume wengi si wote hawapendi ile
emotional connection na mtu ambae ni wa kumtia tu. sasa wameshagundua wanawake wingi
wako very sensible kwa mambo mengi.. kwa hiyo kumvuta yule mwanamke karibu na kumfanya yule
mwanamke awe comfortable mbele yake.. basi anachana hayo maneno matatu tu .. " I LOVE YOU"..

lakini kwa mtu ulie nae kwa muda mrefu , mke, girlfriend/boyfriend, partner etc.... inawia vigumu
kusema hilo neno hovyo... sababu umechangia kipande fulani cha maisha yako na huyo mwenza..
so when you say "I LOVE YOU" you real mean it... hautamki tu sababu unataka kitu fulani kutoka kwake..
nadhani ndio maana wengi walio kwenye mahusiano hawatamki tu randomly ...

shikamoo RV..
 
Si unajua mwanamke mwengine unakuwa hutaki hata kumuona unaweza kumkwepa kabisa ukimuona gozi gozi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom