Naomba JF iwe mshenga

Mtanzania achana nae anipe kibali cha nini wewe acha kuzuga hapa alah lakini ni porojo kama kawaida yako ha ha ha nimecheka kwa laudi speaker

Umesema ukijitetea kwa mtanzania wako kuwa nimekuuzia cheni bandia na umenilipa hela bandia, na kisha unasema ni porojo, sasa nikuweke kundi gani la waliotangaza nia au wapiga porojo?! bahati nzuri nimepata wawili muda huu wameni pm wakiwa wame attach cv zao nataka nizipitie muda huu nione vigezo nawe kama una nia ya kweli leta cv mimi natafuta mwenye vigezo nilivyovitaja tu hapa si vinginevyo.
 
Namshangaa sweetlady, maana nijuavyo mimi ni kwamba jinsi inavyotumika sana ndo inakuwa tamu zaidi.
I salute you kwa kuweka hii kama kigezo.
Thenks mkuu, nimetafuta vitufe vya like naona mod kavitoa sijui!
 
Umesema ukijitetea kwa mtanzania wako kuwa nimekuuzia cheni bandia na umenilipa hela bandia, na kisha unasema ni porojo, sasa nikuweke kundi gani la waliotangaza nia au wapiga porojo?! bahati nzuri nimepata wawili muda huu wameni pm wakiwa wame attach cv zao nataka nizipitie muda huu nione vigezo nawe kama una nia ya kweli leta cv mimi natafuta mwenye vigezo nilivyovitaja tu hapa si vinginevyo.

Mie siku PM.

Nimeachika mara 100
Nina watoo 7
Nina wategemezi 60
Mengine nitamalizia baadae
Naishi Sudan Kusini
 
Mie siku PM.

Nimeachika mara 100
Nina watoo 7
Nina wategemezi 60
Mengine nitamalizia baadae
Naishi Sudan Kusini

Kuwa na wategemezi sijaitaja kama sifa moja wapo wala watoo 7 sijui ni sifa gani hiyo, hapana hauko Sudani uko Kenya naona unavyo ni porojo wewe!
 
Wewe umesema nikupe CV halafu unaikataa tena wewe jamaa bana!!!

Mbona unakuwa na mambo kama mzee fulani hivi wa miaka 120??? Haya bana ngoja nitoke.

BTW: Kenya nilishahama toka Last Month baada ya kupata kazi huko kwenye Nchi mpya.
 
Mtanzania achana nae anipe kibali cha nini wewe acha kuzuga hapa alah lakini ni porojo kama kawaida yako ha ha ha nimecheka kwa laudi speaker
Kwa kuwa amedharua kiti cha mshenga wa JF , napendekeza tumtoe katika list ya wanaohitajika ie. all except Dena Amsi
au afute kauli yake
 
Wewe umesema nikupe CV halafu unaikataa tena wewe jamaa bana!!!

Mbona unakuwa na mambo kama mzee fulani hivi wa miaka 120??? Haya bana ngoja nitoke.

BTW: Kenya nilishahama toka Last Month baada ya kupata kazi huko kwenye Nchi mpya.

Kidogo ulikuwa unikamate lakini nimehepa!, uongo una kanuni moja kwamba usiwe msaaurifu! ulini pm juzi ukiniambia uko kenya sasa unasema mwezi jana ndio umetoka huko?!
 
Upo very intelligent kukabiliana na wanakuandama kwa uliyoyasema hapo mwanzo, hapo sasa!!, komaa tu mpaka wakuuelewe kwamba sasa si porojo tena, ila kazi unayo mpaka uje uaminike.
 
Hiyo sifa ya kwanza mi hoi.
<br />
<br />
Ha ha ha Mulama ana vituko mie namwonea huruma. Halafu wewe hebu jibu PM basi naogopa Aine tu asije hapa ha ha na hamu ya Samaki Sato mie kha! Au usharudi Chako ni Chako kwenye kuku? ukimaliza kusoma futa
 
Upo very intelligent kukabiliana na wanakuandama kwa uliyoyasema hapo mwanzo, hapo sasa!!, komaa tu mpaka wakuuelewe kwamba sasa si porojo tena, ila kazi unayo mpaka uje uaminike.
Ahsante mheshimiwa kwa kuniona, angalau umenitia moyo, hawa wananipondea ile mbaya yaani!
 
<br />
<br />
Ha ha ha Mulama ana vituko mie namwonea huruma. Halafu wewe hebu jibu PM basi naogopa Aine tu asije hapa ha ha na hamu ya Samaki Sato mie kha! Au usharudi Chako ni Chako kwenye kuku? ukimaliza kusoma futa

Si umeona sasa? mpaka unamjibia Husninyo wako kwenye post yangu yenye application zenye maombi kuhusu mwenza tena wa maisha! Unanihurumia kitu gani zaidi unaniharibia pose tu hapa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom