Naomba formula ya fixed charge ya Richmond/Dowans

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Wadau, naomba mnisaidie kujua jinsi fixed charge ambayo Tanesco walikuwa wakilipa kwa Richmond/Dowans.

Kuna uwezekano mkubwa Dowans/Richmond hawakutaja thamani sahihi ya uwekezaji wao ili walipwe zaidi.

Nimeona kwenye kesi ya Dowans/RDVECO kuwa ile mitambo ilinunuliwa kwa $7.5m
 
Back
Top Bottom