Naomba Format za mitihani ya taifa Form IV

Km ni mwanafunzi unastahahili kucover kila kitu hii style ya kusoma kwa kufuata format za utungaji/uandaaji mitihani ni cancer kwa kizazi kijacho kwa kua product zinazozalishwa kutokana na mfumo huu ndizo tunategemea zije kusimamia/kuchukua hatamu ktk nyanja mbali mbali
 
Geography O-level:
Section A - Physical & Mathematical geography
Section B - Practical geo, surveying, research, statistics
Section C - Map reading & photograph interpretation
Section D - Part I : regional geo (human and economic activities), Part II : Environ issues, popn, settlements

A - level
Paper I - Physical geo
Paper II - regional geo
 
Km ni mwanafunzi unastahahili kucover kila kitu hii style ya kusoma kwa kufuata format za utungaji/uandaaji mitihani ni cancer kwa kizazi kijacho kwa kua product zinazozalishwa kutokana na mfumo huu ndizo tunategemea zije kusimamia/kuchukua hatamu ktk nyanja mbali mbali

kweri kabisa naona huyu kijana muoga wa mitiani, walimu wao wanakesha kuwasovia pepa badala ya kufundisha kadri ya silabasi.vijana wanaelekea pabaya.
 
format ya csee ipo kwenye somo la geography, kisw na engl tu kama unashidanayo kachukue past papers utaona
 
Back
Top Bottom