naomba file la joiku wakuu

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Wakuu heshima mbere

Naombeni na mwenye nayo faili la joiku nataka kuweka kwa blakberry yangu 9000. Wakuu nataka nipate wifi katika computers *ngu kwa kutumia sim
 
hehe me staki upako wako joiku ninavofahamu mimi ni software ya symbian unatakiwa uwe na nokia symbian au baadhi ya sony erricson zinazotumia symbian

Blackberry sjawahi skia je wewe ushaiona mtu anayo kwenye bb yake?
 
Wakuu heshima mbere

Naombeni na mwenye nayo faili la joiku nataka kuweka kwa blakberry yangu 9000. Wakuu nataka nipate wifi katika computers *ngu kwa kutumia sim

Joiku sijawahi kuiona ya blackberry bro. Nilishasearch kila kona ya mtandao bila mafanikio. Labda ipo bwana endelea kusikilizia kwa wana wengine
 
sijui extension ya application za blackberry yanaishaje lakin ntakupa mfano ingia kwa simu yako 4shared.com - free file sharing and storage
Then kwenye search andika joikuspot sis then search
Note: (sis) ni extension ya application za nokia symbian60 so hapo toa sis weka extension ya blackerry application itakuletea chagua then download
 
hehe me staki upako wako joiku ninavofahamu mimi ni software ya symbian unatakiwa uwe na nokia symbian au baadhi ya sony erricson zinazotumia symbian

Blackberry sjawahi skia je wewe ushaiona mtu anayo kwenye bb yake?

bwana mkwawa hv hiyo maana ya symbian
ni nini?,
halafu huwa naona symbian tofaut kama vile symbian s4a, n.k
na mm huwa na2mia nokia 3120classic
je symbian ip?
 
kweli nimekumbuka joiku ni kwa ajili ya nokia that is why ina run kwenye symbian tu.
Symbian ni operating system zinazotumia simu za nokia, blackberry zinatumia bberry os, iphone zinatumia ios.
 
bwana mkwawa hv hiyo maana ya symbian
ni nini?,
halafu huwa naona symbian tofaut kama vile symbian s4a, n.k
na mm huwa na2mia nokia 3120classic
je symbian ip?

Symbian ni operating system ya smartphone za nokia simu yako sio symbian na haiwezi kuingia mafile ya symbian

Simu yako ni java based na inaingia mafile ya java ambayo kwa simu yanakua na extension ya .jar, au ikiwa url ya jar ipo hidden unaweza pewa .jad

Kwa nokia kuna maneno wanatumia kuna s40 yaani simu za java kama yako (non smartphone)
Na s60 yaani simu za symbian (smartphone)
 
Back
Top Bottom