Kitia
JF-Expert Member
- Dec 2, 2006
- 418
- 74
Kama kuna mtu ambaye ana data,au anajua mahali ambapo naweza kupata data za:
1. Aina ya matunda mbali mbali
2. Idadi (quantity) ya matunda yapatikanayo kwa msimu
3. Misimu ya kila aina ya tunda,
hasa katika mikoa ya Morogoro, Pwani,Iringa na Tanga. Maelezo ya mikoa mingine pia kama yapo yatapokelewa.
Wasiliana nami kupitia nasara.oy@gmail.com au tumia PM.
Natanguliza shukrani