Naomba countdown ya siku 90 za mapacha watatu

tanga kwetu

JF-Expert Member
May 12, 2010
2,193
1,434
nepoteza kumbukumbu...kwa wanaokumbuka naomba tarehe ya ule mkwala wa siku 90 kwa mapacha watatu ili ni-count down.

pia prince wetu ametoa siku 9, naomba countdown yake.

ni kawaida yao kutoa mkwala then wanaingia mitini ila safari hii tupaze sauti zetu sana kukumbushia siku 90 na siku 9 zitakapo-expire.
 
CCM imebomoa CORE Midfield aka MAPACHA watatu, ni sawa na wale MAPACHA wa Barcelona XAVI, INIESTA NA MESSI uwaondoe kwa mpigo yaani hapo unajua fika kwamba kipigo ni cha mvua za masika - non stop.

Kifupi hakuna wa kuthubutu kuandika barua, ni uamuzi wao hawa mapacha kurudisha kadi kama wanataka, yaani zoezi la kujivua magamba ndiyo limeshaisha hilo, hamna lolote.
 
Usiumize kichwa,hawana ubavu wa kuwang'oa mapacha.hiv nan mkubwa kati ya mapacha na hao jamaa akina nape,mkama na kilanja mkubwa?
 
Usiumize kichwa,hawana ubavu wa kuwang'oa mapacha.hiv nan mkubwa kati ya mapacha na hao jamaa akina nape,mkama na kilanja mkubwa?

Umesema vyema mkuu! Nape simsikii tena ingawa siku 90 zinaisha 11/7/2011. Hawana ubavu wa kumtoa yeyote hata barua walizosema zitaandikwa kwa mafisadi hatujui zimeishia wapi.
 
Siku tisini yalikuwa ni maigizo tu kwa sisi Watanzania,Kama ulikuwa unasubiri muvu ndio limeshaisha hivyo
 
Hamkijui chama cha magamba au! Jk mwenyewe ni msanii kubwa angalia kilichofanyika epa na richmond, matokeo yake amemwacha akina dr. H. Mwakiembe akisota kisisa na kimaisha wakati mapacha watatu wanapeta mtaani
 
umeshamsikia nape akibwabwaja tena?? kwisha habari hakuna wa kuwasogelea tena hawa jamaa,jtatu ya pasaka EL alikuwa ikulu na ****** unategemea kuna nani wa kumuadabisha??? kwishney...
 
Back
Top Bottom