Naomba contact za Zitto Kabwe ili nimshawishi agombee u rais wa tz!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Wakuu poleni kwa majukumu,nipo mbele yenu kuwakilisha hoja binafsi.
Tangu jana nimekua nikifatilia bunge la tz,na nilizidi kuhamasika kuendelea kufatilia bunge baada ya kumsikia mh Zitto akisema kwamba leo asubuhi atahamasisha wabunge wasaini form maalumu ya kutokua na imani na waziri mkuu.Mh Zitto alilitekeleza hilo leo asubuhi,na mpaka kufikia jioni hii tayari matokeo mazuri yameonekana baada ya kusikia kwamba kuna baadhi ya mawaziri "wameachia ngazi"kwa hayo machache nimefurahishwa na juhudi za mpiganaji huyu mwenye uchungu na nchi yake,sasa naomba mwenye direct contact nur za mh Zitto anipe ili nimpigie na nimuombe agombee urais wa Tanzania na mm ntatumia muda wangu kuwashawishi vijana wenzangu ktk eneo ninaloishi ili apate around 90 ya kula za vijana wenye uchungu na nchi hii.
Hayo ni ya kwangu binafsi na sikulazimishi wewe uniunge mkono.
"Huo ni wangu mtazamo masela
msijenge chuki"
Naomba kuwakilisha!
 
hakuan haja ya kutafuta contacts zake wewe andika tu hapa na ataona au nenda twitter au facebook. ukimuandikia anakujibu ni jamaa yuko fresh tu hana maringo
 
hakuan haja ya kutafuta contacts zake wewe andika tu hapa na ataona au nenda twitter au facebook. ukimuandikia anakujibu ni jamaa yuko fresh tu hana maringo
Poa mkuu ngoja nimfate kwenye twitter sasa hivi.
 
Back
Top Bottom