Naomba bei mbali mbali za mashine za popcorn

fugees

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
2,868
882
Heshima kwenu wakuu hapa jf. Naombeni bei za mashine za popcorn na nitazipata wapi hapa dar asanteni.
 
ni jana tu nimekuwa impressed na biashara hii baada ya kumuona mdada 1 pale tabata liwiti..

Wadau ajuaye hizi bei atujuze na mimi ni mhitaji.
 
Back
Top Bottom