Naomba anaejua hotuba za nyerere zilipo anijulishe

Jakubumba

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
1,624
500
Habari wana jamiiforum aka great thinkers. Mimi ni kijana mdogo nina miaka 25,sikupata kumuona nyerere uso kwa uso lakini alifariki nikiwa nina ufahamu mkubwa tu wa mambo mazuri aliyofanya katika nchi yetu. Ninaomba mwenye kujua website ambayo nitaweza kupata hatuba zake na kuzisikiliza anijulishe hapa,nimejaribu youtube lakini napata vipande vipande mpaka nakereka.
Tafadhalini naomba msaada wenu.
 
Kama utakosa hiyo website. Check na wauza kanda za music wanazo cd's za audio na video za hotuba za mwalimu.
Very good. tunataka vijana kama nyinyi katika nchi hii.
 
WanaJF hakuna aliyenazo aturushie humu janvini maana wengine hawapo nchini!!!
 
:lol:

Good boy.........safi kabisa

Je mnazotaka ni za video tu au hata za maandishi?

Kwa walioko Tz kwenye majumba ya makumbusho kuna baadhi ya articles lakini hazina kubwa ni Nyere Foundation
 
:lol:

Good boy.........safi kabisa

Je mnazotaka ni za video tu au hata za maandishi?

Kwa walioko Tz kwenye majumba ya makumbusho kuna baadhi ya articles lakini hazina kubwa ni Nyere Foundation
Zote tu!
 
jaribu kuchek na ofisi za TBC,huwa wanazo speech zake audio na visual
Ni kweli, TBC wanazo Audio na baadhi ya visual za recent tuu. Visuals za tangu 1966 zimekuwa zikipigwa na Taasisi ya audio Visual (AVI) kwa ufadhili wa China na CUBA, huku walikuwa wanapiga master tuu kwenye 16mm na kwenda kusafishia China na Cuba, tatizo hizo masters zilipokuwa zikienda, hazikuwahi kurudi tena nchini!. Poor we!.
 
Kanywe baa kabla hujamaliza beer moja, utaona watapita machinga wanauza cd waulizie cd ya vita vya uganda ina hotuba zote za baba
 
Hongera kijana kwa mawazo yako kwani hujazipata tabu za huyu mtu katika utawala wake, ambao haukumwandaa mtanzani kwa vyovyote vile, watanzania wengi hatuna elimu kwa sababu yake, tujicompare nawenzetu tu wakenya na waganda then you will know what I mean. Sijapataga hatakufikira kuwa na kumbukumbu zake kwani upeo wake haukutufukisha popote. Bora tu niendelee kumsahau hivi hivi.
 
mbona unashuklani ya punda hivyo ndg yangu muanzisha mada??? Hata kusema aksante ... nimepata... ndo umeanzisha thread ukakimbia??? Mjenge utaratibu wa kuanzisha maada ya swali... na kuipitia tena ili uweze kujua msaada ulioomba na sio kuweka tu BORA BOST ili uonekane!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom