Jamani nishushiwe hapa kama kuna mtu ana Encarta 2009 au 2010 natanguliza shukrani
Mkuu unaweza download Magic Iso Maker kufungua hizo file na kuziunganisha . download hapa chini, ukimaliza kudownload install setup ya Magic Iso ukimaliza install Registry key For Full Version hapa chini.Nimefanikiwa kudownload kwenye hii link kwa megaupload ila sasa nashindwa nifanyeje. files hazipo compressed its like an Image ready to burn
stde09-xiso-egydown-mu.iso.001
stde09-xiso-egydown-mu.iso.002
stde09-xiso-egydown-mu.iso.003
stde09-xiso-egydown-mu.iso.004
je natakiwa kufanya nini hapa sababu hata nikisema nifanye burning it means DVD moja moja. au unashauri vipi