naoma ufafanuzi wa neno lad

Tuendelee

Member
Feb 10, 2012
22
6
Niikuwa nasoma habari za michezo Kwa lugha ya kingereza mtandaoni.

That was a proper old-school bonkers stamp, wasn't it? Fuller made no attempt to disguise his actions, exacting the full force of his frustration at having to play with Salif Diao on Branislav Ivanovic's midriff. The Serbian is lucky Fuller's foot didn't land on his lad
Lakini hapo sijaelewa hiyo lad maana yake nini au ni sehemu gani ya mmwili Ladda wanaelewa au kwa waliooona hii mechii wanaweza kutumia context kunifafanuia nami uongeze misamiati ya maneno katika hii lugha ya wenyewe
 
Kwa nini unataka kutafsiri neno la kiingereza mojamoja badala ya sentensi nzima? ukisoma bila uvivu wa kufikiri utagunduwa kwamba lad maana yake ni kijana/ ujana
 
Back
Top Bottom