Naogopa sana msichana mwenye majini.

Spider man

Member
Apr 15, 2012
12
1
Jaman nawaogopa sana wasichana wenye majini,ila sasa nina demu wangu mwenye majini sa cjui itakuweje na wakat namuogopa ila najkaza ksabun kutokana na yeye kunipenda kwa dhati.
 
Teh utashangaa unampa vitu masaa mawili haridhiki anakuambia sijatoshekaaaa lol
 
Teh utashangaa unampa vitu masaa mawili haridhiki anakuambia sijatoshekaaaa lol

teh teh teh teh itakuwa anamajin mengi kwa hali hyo ha ha ha 2takmbiana aiseee,afu nishawah kuambiwa kuwa huyu bnt ana majini 12 sa cjajua niukwel au uongo.
 
Ngoja cku kati ya hayo majini yake likuombe kiwasheli ndio utaanza kuogopa vizuri sasa...
 
teh teh teh teh itakuwa anamajin mengi kwa hali hyo ha ha ha 2takmbiana aiseee,afu nishawah kuambiwa kuwa huyu bnt ana majini 12 sa cjajua niukwel au uongo.
Hahahaaaa we jiandae kuhudumia zile kitu idadi sawa na ya majini yake....walau moja kwa kila jini...teh
 
Wengine hua hawana majini , dizain boshen flani hivi, hasa akisikia una manzi mwingine tofauti na yeye.
Bt kama utakua unamsukumia binduki kifresh, ma'peak yote makina kibo, ma'uhuru unamkwezesha jini utaliona wapi bwanaa!
 
ngoja siku apandishe ndo utajua na maombi sio solution watamuongezea idadi ya madude tu tena yenye nguvu zaidi ya hayo.
 
Back
Top Bottom