Naogopa ndoa jamani

kama unampenda na yeye anakupenda, kukujali na kukuthamini, ulewa tu, jitahidi kuucontrol huo wivu, akikuudhi au ukihisi kitu muleze, ikiwezekana hitisha hata kikao cha familia kunapokuwa na tatizo, usijichukulie sheria mkononi my Dear, itakucost, uje kujuta baadae
 
Pole sana Mama K, greatest number of people in the world are cheaters...and the few who don't are either extremely fat, blind or cleansed by the Blood of Jesus! Since most women revolve their lifes around men there are only two ways to live with a cheater first, you learn how to forgive and concentrate on your life, second, you leave him but prepare for the world ahead of you. Either way, the best life is to seek contentment in one's life and this comes from God alone!

yaaap i agree with you if am not choosing those two options am very sure my marrage will become worse , i have to pray much that is the only solution am asure with , thanks for the advise
 
kwakweli mimi huwa nikiwaza swala zima la ndoa huwa nadata kabisaaaa coz hawa wanaume macho juu juu sana na mimi nina wivu hatari kwakweli naona nikiolewa nitaozea lupango.sitaki mtu acheze na mali yangu . naomba ushauri jamani nibaki single au nijitose kwenye ndoa

Afadhali nije kwenye mapenzi tu naona jukwaa la siasa linanipandisha pressure bure. Nikiendelea kukaa huko nitaishia kuvunja ki laptop changu kwa ghadhabu.

Sasa wewe Mamaa Kigogo mbona unanichanganya? Wewe hujaolewa tayari ulishajiita Mama Kigogo au una maana gani hapo? Haya majina hayaji hivi hivi yana gharama zake na moja wapo ni hilo unalolisema la wivu. Ukiolewa utajua kuwa wivu unajadilika na ni sehemu tu ya huu mchakato mpana wa mapenzi.
 
Pole sana Mama K, greatest number of people in the world are cheaters...and the few who don't are either extremely fat, blind or cleansed by the Blood of Jesus! Since most women revolve their lifes around men there are only two ways to live with a cheater first, you learn how to forgive and concentrate on your life, second, you leave him but prepare for the world ahead of you. Either way, the best life is to seek contentment in one's life and this comes from God alone!

Mkasika, Mkasika!!!! As a great thinker you should refrain from giving generic observations like the ones you have given. Try to get out of the box and think more clearly. I know of cheaters who are extremely fat. I also know of cheaters who pretend to have been cleansed by the blood of Jesus. I know many people who are not cheaters and they don't fall into your stereotype.

Usimkatishe tamaa huyu Mama Kigogo acha aingie kwenye mchakato wa ndoa na atajua tu jinsi ya kuudhibiti vizuri zaidi kadiri atakavyopata uzoefu.
 
shost ndoa mbona haitaki mikakati yote hiyo, ukiingia ndani utajiadjust tu, na utashangaa strategy ulizozipanga kabla ya kuingia they are not applicable:becky:
 
chanchandu ushapata kwa ajili ya mumeo au zilikuwa kwa ajili ya boifrendi???:confused2:

makubwa kumbe anatusumbua tu huyu!!! why watu wanalazimisha kuandika thread kwa vitu nya uongo, sa anadai anaogopa kuolewa kumbe ana yake!!
 
mume mtarajiwa ndugu yangu

'jamani naombeni mnisaidie kwa wale wanaume ambao mmeshakutana na hizi kitu waswahili tunaziita chachandu au chain za kiunoni kwa wanawake je zina rahaa gani kwa wanaume ?NA JE ZINAKUWA NZURI ZAIDI ZIKIWA CHACHE AU NYINGI .Jamani naombeni mnielimishe na mimi niweze kumfurahisha wa ubavu wangu nirinde ndoa yangu maana vichenchede vikin
iamulia hata nyumbani hatakuwa anarudi na ndo nasikia ndo mabo yao hayo yakulipiga hivyo vitu vya kiunoni. jamani we mamaa kigogo
unatuchanganya sana!!!!!!
 
kwakweli mimi huwa nikiwaza swala zima la ndoa huwa nadata kabisaaaa coz hawa wanaume macho juu juu sana na mimi nina wivu hatari kwakweli naona nikiolewa nitaozea lupango.sitaki mtu acheze na mali yangu . naomba ushauri jamani nibaki single au nijitose kwenye ndoa

Ila kama wewe leo unaiba vya watu.. vyako lazima viibiwe.. APANDACHO MTU.....
 
pole dada ,hilo ni tatizo la wengi wetu wanawake kuogopa ndoa bcz saiv life imechange totaly. wivu ni sehemu moja ya mapenzi but usiwe na mawazo hayo, kuolewa na ni bora zaid, trie to find good man, don't rush katika kutafuta mtu mwema, ila mungu ata kusaidia .na usiwe na wivu mpaka uka kuharibia katika maamuzi yako, all the best
 
:confused2:Mwanamke jasiri analinda ndoa yake, we ukiolewa utajua humohumo, wanaume sio wote wasumbufu
 
Mama Kigogo we ni noooooma kweli kweli yaani una ndoa kwenye "wanaume na chachandu" halafu huku unaogopa ndoa, mmmmhh huuu nahisi ni uongo mtakavitu manake eeeh. Nahisi kuna sehemu nyingine unatudanganya hapa ni za kutunga tu stori zako ila usijali maamuzi yoote yapo mikononi mwako kuolewa au lah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom