Naogopa kumwambia

Wasiliana na wale jamaa wa hisani kwa msaada wa watu wa marekani. Watakupa mbinu za kuzungumza na kuvunja ukimya
 
Jaribu kugundua zawadi itayomfurahisha sana ambayo unweza kuipata bila kuiba au kukopa. Mpelekee hiyo na muombe mkatembee sehemu kama kupata lunch au kwenda kupata upepo beach saa za mchana sio usiku. Ukaribu utajenga ujasiri kwako na ukaribu kwake. then anza kuomba hugs akifika na then angalia upepo....sio kadenge nyiiingi.......ukishindwa sana tumia mbinu za kichaga piga ngwala weka begani peleka mgombani...ebo
 
kumbuka pia uzuri una mahusiano chanya na maambukizi ya ukimwi. Na pia huwezi kumtambua kwa kumwangalia. nadhani busara ni kupima kwanza kabla hata ya kujua kutongoza.
 
hi jf
kuna msichana mmoja mrembo sana!ana umbo zuri,kiukweli kaumbika.nimempenda.sasa kazi iko hapa,kumwambia nampenda imekua ishu maana hua tukikutana tunaongea mambo ya kwaida tu.
Mawazo!

Najua wewe domo gundi

Jaribu kumtoa out mzungumze kisha piga ulabu aibu zitakuisha unaweza kuta siku hiyo hiyo unamega
 
hi jf
kuna msichana mmoja mrembo sana!ana umbo zuri,kiukweli kaumbika.nimempenda.sasa kazi iko hapa,kumwambia nampenda imekua ishu maana hua tukikutana tunaongea mambo ya kwaida tu.
Mawazo!
poleee sanaa shauri...ilaa unaonekanaa unamtamani cse ni mzurii huyo dadaa.[nipe number yake ntakusaidia kumwambia:smile-big: utaniii tu...JARIBU KUONYESHAA ISIAA ZAKO KWA VITENDO ZAIDI,MTOE OUT...MNUNULIE SM GIFT.ilaa inaonekanaa still young cse huwezi kumpenda mtu usimwambie isia zako tatizo lako unaogopaa KUPIGWAA KIBUTI...usijaliii mwanaume rijali lazimaa awee na vibutiii vya kutoshaa.wee eleza isia zako akikutosaa chapaa lapaaa kuliko kuumiaaa
 
hi jf
kuna msichana mmoja mrembo sana!ana umbo zuri,kiukweli kaumbika.nimempenda.sasa kazi iko hapa,kumwambia nampenda imekua ishu maana hua tukikutana tunaongea mambo ya kwaida tu.
Mawazo!

Mkubwa hivyo unaogopa? Bado hujakuwa achana na hayo mambo waachie wakubwa wako!
 
hi jf
kuna msichana mmoja mrembo sana!ana umbo zuri,kiukweli kaumbika.nimempenda.sasa kazi iko hapa,kumwambia nampenda imekua ishu maana hua tukikutana tunaongea mambo ya kwaida tu.
Mawazo!

Tandaza rupia kama huwezi kulianzisha, then yeye ndo atavunja ukimya
 
Back
Top Bottom