Naogopa kumwambia kuwa nina hamu ya kufanyia mapenzi gesti house

Mwambie tu kwamba unataka ubadilishe venue iwe guest house. Au mwambie akutoe out then nendeni kwenye hotel kubwa na kama hamna watoto mwombe mlale huko huko ili mtwangane vizuri.

Pole bibie kwa kuteseka na hamu ya kubanjuliwa guest house.

Nilipokuwa nachagua BF wa kuwa mume sikutaka kabisa mtu wa dunia bali mcha mungu na huyu ndio waridi langu.Leo hii nianze kumpeleka gesti hapana atanionaje?
JF mutaponza nionekane mchafu buree
 
Ushauri tu; jaribu kutafuta njia ya kuondokana na hizo imaginations au la kuna siku lazima utakuja megwa na njemba (might be someone you know already na ikatokea by chance mpo kwenye gest moja).

Unanitisha ila siamini kama itatokea nikiwa na ubongo huu
 
hata mimi sijui hili tatizo limeanzaje?nikifungua mlango wa gesti tu ....................nimeisha
Nataka kujua kama na wenzangu wana tatizo hili pls bacha nisaidie

Huwa unafikia guest gani? Unataraji kuja lini? Inabidi nisicheze mbali, nikiona mgeni anaingia na kuanza kweweseka tu, naingia, najua akili utakuwa umeazimwa na shetani, fahamu itaporudi, kila kitu tayari.
 
Mtoto unapenda sana michezo ya kikubwa wewe hahahahaaa, yaani kushika funguo tu huwazi kuoga maji moto huwazi kulala wala kuongea na simu kwa mahaba na mmasai wako? jitafuttia activities za kufanya ukiingia room, hata kama kupanga begi upya na kuchatio na friends mpaka unapitiwa, kama vipi one nite stand ila ufate rules zake lol!!! joke

good good good
ntakuita dear.Niko serious, upo DSM next wiki j4 ntakuwa dar kama mambo yataenda sawa
Rule gani inayokukwaza hasa wewe mdada?
 
Huwa unafikia guest gani? Unataraji kuja lini? Inabidi nisicheze mbali, nikiona mgeni anaingia na kuanza kweweseka tu, naingia, najua akili utakuwa umeazimwa na shetani, fahamu itaporudi, kila kitu tayari.

Nalala Skekilango
siitaji mgeni wa kiume karibu yangu niwapo gesti
 
Unataka umpeleke mmasai guest, tumia sanaa tu atajikuta yupo guest halaf anakuomba msamaha kwa kukupeleka guest.
 
Huyo ni pepo tu, jaribu wasiliana na watu wa mungu (wachungaji) wakuombee....pole!
 
Nilipokuwa nachagua BF wa kuwa mume sikutaka kabisa mtu wa dunia bali mcha mungu na huyu ndio waridi langu.Leo hii nianze kumpeleka gesti hapana atanionaje?
JF mutaponza nionekane mchafu buree

Unajiponza mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!
 
mary sio ajabu!!mi ushauri wangu...sio lazima umtamkie direct,inatakiwa siku moja unasafiri nae then makusudi mnapanda gari la kuchelewa,then mnakodi chumbaa mnalalaa..mna maliza haja zenu
 
Back
Top Bottom