Naogopa kuchunwa

Dah!! Ngoja kwanza nimshukuru ma'wife 2 be kwa moyo wake wa chuma ,Ushauri wangu kwako ni huu Jiulize maswali matatu ya msingi_

KWANZA KABLA YA YOTE FUTA HII POST YAKO NA UENDELEE KUAMINI ULICHO AMINI MWANZO NA USIZIRUHUSU HISIA MFU.
Na ujiulize
Upo tayari kuingia kwenye mahusiano ya kudumu?
Ungependa kuanzisha mahusiano na mtu wa kiwango gani kiuchumi ,kelimu, kijamii?
Uulize moyowako kwa kumshirikisha Mungu kweli huyu nichaguo lako i mean anasifa unazo zihitaji ?
Kama jamaa akijizolea max za kutosha amini ndiye.

Nakushauri ujifunze kujitegemea kiakili yapo mambo ya kutaka ushauri lakini si ya kimaamuzi otherwise mi nauita ushamba tu.
inaonekana na wewe unachuna nini?
 
Habari zenu wana Jamii forums, kwanza niwatakie Heri ya pasaka. Mimi ni msichana nina elimu yangu nzuri ya masters na kazi nzuri pia ila sijaolewa. Nimetokea kukutana na kijana ambaye ni polisi na anasoma kujiendeleza kielimu yani ngazi ya degree. Toka nimekuwa nae kuna tabia imekuwa inanikera ila najitahidi kumvumilia kutafuta ndoa. Mimi nina gari yeye hana hivyo tunapokutana anataka aendeshe yeye gari na anaanzisha safari zake nyingi na hela ya mafuta haweki anatumia mafuta niliyoweka ambayo yako ndani ya bajeti na mnavyojua bei ya mafuta inapanda kila siku. Naogopa kumwambia ataniona namnyanyasa sababu yeye hana gari. Naombeni ushauri wenu nimchakachue nitafute mwingine Au nimweleze ukweli na navyoboreka au nimvumilie wakati naumia naona kama nachunwa.

Kuhusu kuendesha gari, Girl understand that msichana anapokua na mwenza wake inapendeza sana yeye (the guy) ndo aendeshe gari hata kama c lake, otherwise awe anaumwa. Maelezo ulotoa hayajitoshelezi ingawa suala la wewe kutaka ndoa lime stand out kwangu. Anyways mambo mengi ni vigezo, how does he treat you akiwa na rafiki zake? Je anakutegemea kwa mengi au ndo hayo tu mafuta ya gari? Is he too comfy with the situation? Mana hata kama kipato chake ni kidogo, wanume wenye pride anataka aoneshe japo kile kidogo anaweza mudu. Kwa mfano kama You have been with the guy more than 6 months na hajawahi toa pesa ya mafuta hata cku moja - he does not love u, ila anakutumia. Mwanaume yeyote yule anaempenda mwanamke wake unamuonesha kwa kujipga kwake kwa level anayoweza fikia tokana na uwezo wake
 
LD , hakuna mapenzi yanayodumu mda mrefu kufikia ndoa kusikuwepo kitu kinachoitwa uvumilivu yaana kuvumiliana kila mtu ana upungufu na tabia ambazo ziko tofauti na mwingine, na usipokuwa na uvimilivu dada wakati atafika milele
Huyo si mwanafunzi? Mwanafunzi anatakiwa kupewa pesa sio kutoa pesa. Sijui kwa nini nafikiria hivyo, lkn nadhani inabidi uwe makini usijikaze kubaki na mtu kwa sababu ya ndoa, utakuja kujuta, mi huwa naamini ndoa ipo wakati ukifika, lkn kuvumilia maumivu ya moyo kisa natamani ndoa hapana. Hasa ukizingatia huyo ni mwanaume, na atapenda aonekane kichwa, inaweza ikawa ngumu kwako kuhoji baadhi ya mambo au ukiuliza uonekane una dharau.
 
Habari zenu wana Jamii forums, kwanza niwatakie Heri ya pasaka. Mimi ni msichana nina elimu yangu nzuri ya masters na kazi nzuri pia ila sijaolewa. Nimetokea kukutana na kijana ambaye ni polisi na anasoma kujiendeleza kielimu yani ngazi ya degree. Toka nimekuwa nae kuna tabia imekuwa inanikera ila najitahidi kumvumilia kutafuta ndoa. Mimi nina gari yeye hana hivyo tunapokutana anataka aendeshe yeye gari na anaanzisha safari zake nyingi na hela ya mafuta haweki anatumia mafuta niliyoweka ambayo yako ndani ya bajeti na mnavyojua bei ya mafuta inapanda kila siku. Naogopa kumwambia ataniona namnyanyasa sababu yeye hana gari. Naombeni ushauri wenu nimchakachue nitafute mwingine Au nimweleze ukweli na navyoboreka au nimvumilie wakati naumia naona kama nachunwa.

Likele Shungu tatizo lako ni kubwa kuliko ulivyolielezea. Tatizo lako haswa ni hapo kwenye red. Unataka ubalance red, kijani na blue (kuolewa, elimu, status kifedha).
Nimesoma maelezo yako, nimekuangalia ulivyo, na elimu yako nzuri (toka portugese), na ushauri wangu hapo ni kuwa huyo askari Mnadanganyana na kupotezeana muda tu. Kutokana na maelezo yako, sina hakika kama mna mapenzi ya dhati baina yenu.

Facts zilizopo kwenye jamii ya waTanzania ya sasa:
A. Wanaume wanaooa wamekuwa adimu sana (//Ugumu wa maisha??).
B. Wanaume WENGI hatupendi wanawake waliotuzidi kifedha/kielimu mwanaume (Read:Why Men Marry Some Women And Not Others by John T. Molloy)
C. Kumetokea wimbi la vijana wanaotaka kutoka kimaisha kupitia gia ya mapenzi. (wakaka wanatafuta wanawake enye hela, vilevile kwa kinadada pia wamekuwa wanatafuta wazungu siku hizi)

Upana wa tatizo lako:
Kutokana na kipengele A na B hapo juu, hiyo 'adimu' inakuwa X2 kwako kwa sababu ya 'elimu yako nzuri ya masters'. Kuna uwezekano huyo askari akawa ni limbukeni (labda hajawahi kuendesha gari kabla) au hana mapenzi ya dhati (mtu wa kipengele C hapo juu).
Ukimchakachua huyo askari kuna hofu ya kubwa ya kuja kumpata mwingine ambaye atakuwa na vigezo uvitakavyo. Kwahiyo hapo tatizo ulilonalo hasa ni KUBALANCE NDOA, MAPENZI YA DHATI NA MTU WA STATUS YAKO, jambo ambalo ni gumu sana.
Wanaofanikiwa kutatua tatizo kama lako ni wale ambao wanatafuta wapenzi wakiwa bado vyuoni. Msichana ukitoka nje ya chuo, kupata mwanaume mwenye status kama yako kielimu na kifedha ambaye yuko single ni ngumu na kadri unavyojiendeleza ndio inakuwa ngumu mno.

Ushauri wangu
1. Chunguza kwa kina na uwe na uhakika kama mpenzi wako ana mapenzi ya kweli au ana nia ya kukuchuna
2. Kutokana na (1), kama ana mapenzi ya kweli, mweleze ukweli unavyokwazika kwa vitendo vyake.
3. Kutokana na (1), kama hana mapenzi ya kweli, mchakachue, tupa kule, anza upya.
 
likele shungu tatizo lako ni kubwa kuliko ulivyolielezea. Tatizo lako haswa ni hapo kwenye red. Unataka ubalance red, kijani na blue (kuolewa, elimu, status kifedha).
Nimesoma maelezo yako, nimekuangalia ulivyo, na elimu yako nzuri (toka portugese), na ushauri wangu hapo ni kuwa huyo askari mnadanganyana na kupotezeana muda tu. Kutokana na maelezo yako, sina hakika kama mna mapenzi ya dhati baina yenu.

facts zilizopo kwenye jamii ya watanzania ya sasa:
a. Wanaume wanaooa wamekuwa adimu sana (//ugumu wa maisha??).
B. Wanaume wengi hatupendi wanawake waliotuzidi kifedha/kielimu mwanaume (read:why men marry some women and not others by john t. Molloy)
c. Kumetokea wimbi la vijana wanaotaka kutoka kimaisha kupitia gia ya mapenzi. (wakaka wanatafuta wanawake enye hela, vilevile kwa kinadada pia wamekuwa wanatafuta wazungu siku hizi)

upana wa tatizo lako:
kutokana na kipengele a na b hapo juu, hiyo 'adimu' inakuwa x2 kwako kwa sababu ya 'elimu yako nzuri ya masters'. Kuna uwezekano huyo askari akawa ni limbukeni (labda hajawahi kuendesha gari kabla) au hana mapenzi ya dhati (mtu wa kipengele c hapo juu).
Ukimchakachua huyo askari kuna hofu ya kubwa ya kuja kumpata mwingine ambaye atakuwa na vigezo uvitakavyo. Kwahiyo hapo tatizo ulilonalo hasa ni kubalance ndoa, mapenzi ya dhati na mtu wa status yako, jambo ambalo ni gumu sana.
Wanaofanikiwa kutatua tatizo kama lako ni wale ambao wanatafuta wapenzi wakiwa bado vyuoni. Msichana ukitoka nje ya chuo, kupata mwanaume mwenye status kama yako kielimu na kifedha ambaye yuko single ni ngumu na kadri unavyojiendeleza ndio inakuwa ngumu mno.

ushauri wangu
1. Chunguza kwa kina na uwe na uhakika kama mpenzi wako ana mapenzi ya kweli au ana nia ya kukuchuna
2. Kutokana na (1), kama ana mapenzi ya kweli, mweleze ukweli unavyokwazika kwa vitendo vyake.
3. Kutokana na (1), kama hana mapenzi ya kweli, mchakachue, tupa kule, anza upya.

sniper nimekukubali kwa jinsi ulivyochambua mzizi wa tatizo. Hayo unayosema ni kweli na yanatokea sana katika jamii yetu hasa nyakati hizi za kupenda pesa, hii thread naona itawasaidia wengi kupata ushauri. Nimeamini hii ni the home of great thinkers isipokuwa pia wamo ambao sio great thinkers humu humu ila wengi wao naona ni ma great thinkers wao wanajijua wanaokurupukia tatizo na kushauri pumba. Asanteni nyote mliopoteza muda wenu siku ya pasaka na kuja kutoa ushauri wenu hapa. Karibuni tena.
 
I thought we are talking to a grown up person........too bad
 
Nafahamu long tm km hyo sio ID kwani kuomba ushauri vibaya, we toa maon pita wache na wenzio watoe yao.

Ungekuwa una akili ungetafakari nilichokushauri kuliko kuleta hasira, but its ok. some of us understand how some minds operate.
 
Likele Shungu tatizo lako ni kubwa kuliko ulivyolielezea. Tatizo lako haswa ni hapo kwenye red. Unataka ubalance red, kijani na blue (kuolewa, elimu, status kifedha).
Nimesoma maelezo yako, nimekuangalia ulivyo, na elimu yako nzuri (toka portugese), na ushauri wangu hapo ni kuwa huyo askari Mnadanganyana na kupotezeana muda tu. Kutokana na maelezo yako, sina hakika kama mna mapenzi ya dhati baina yenu.

Facts zilizopo kwenye jamii ya waTanzania ya sasa:
A. Wanaume wanaooa wamekuwa adimu sana (//Ugumu wa maisha??).
B. Wanaume WENGI hatupendi wanawake waliotuzidi kifedha/kielimu mwanaume (Read:Why Men Marry Some Women And Not Others by John T. Molloy)
C. Kumetokea wimbi la vijana wanaotaka kutoka kimaisha kupitia gia ya mapenzi. (wakaka wanatafuta wanawake enye hela, vilevile kwa kinadada pia wamekuwa wanatafuta wazungu siku hizi)

Upana wa tatizo lako:
Kutokana na kipengele A na B hapo juu, hiyo 'adimu' inakuwa X2 kwako kwa sababu ya 'elimu yako nzuri ya masters'. Kuna uwezekano huyo askari akawa ni limbukeni (labda hajawahi kuendesha gari kabla) au hana mapenzi ya dhati (mtu wa kipengele C hapo juu).
Ukimchakachua huyo askari kuna hofu ya kubwa ya kuja kumpata mwingine ambaye atakuwa na vigezo uvitakavyo. Kwahiyo hapo tatizo ulilonalo hasa ni KUBALANCE NDOA, MAPENZI YA DHATI NA MTU WA STATUS YAKO, jambo ambalo ni gumu sana.
Wanaofanikiwa kutatua tatizo kama lako ni wale ambao wanatafuta wapenzi wakiwa bado vyuoni. Msichana ukitoka nje ya chuo, kupata mwanaume mwenye status kama yako kielimu na kifedha ambaye yuko single ni ngumu na kadri unavyojiendeleza ndio inakuwa ngumu mno.

Ushauri wangu
1. Chunguza kwa kina na uwe na uhakika kama mpenzi wako ana mapenzi ya kweli au ana nia ya kukuchuna
2. Kutokana na (1), kama ana mapenzi ya kweli, mweleze ukweli unavyokwazika kwa vitendo vyake.
3. Kutokana na (1), kama hana mapenzi ya kweli, mchakachue, tupa kule, anza upya.

Well said S.
 
Hapo kwenye red umenisemea aisee. Mimi huwa nawambia wadada na wakaka wakiwa vyuoni wasiangalie vitabu tu wafikirie na maisha yao ya baadae. Vyuoni ni sehemu nzuri sana ya kusomana tabia vicheche wanajulikana, walotulia wanajulikana. Ukiingia mtaani kuna chance kubwa ya kulamba ghalasha.
 
Na kama kweli ulisoma nje ya nchi basi dada it is not your fault. Wadada na wakaka wanaosoma nje ya nchi wakiwa single wanapata side efect ya kushindwa ku network. Maana unajikuta umezungukwa na foreigners ambao si preference yako. Ndo maana ni vizuri kusoma at least first degree TZ. Nina kaka yangu labda nikuunganishie ila sijuhi kama na yeye ni husband material maana ni 38 sasa na ana degree lakini kuoa haoi japo najua hana kasoro kwani he has been in and out of relationships.
 
Mbona amechelewa hivyo au mambo ya shule? naona unatafuta wifi ati
 
Yaani huyu brother wangu hata hatumwelewi na ana mvuto tu. Chakushangaza alipokuwa bado kijana zaidi alikuwa ana tabia akipenda msichana basi anaishi nae bila ndoa wala nini. Tulikuwa tunamshangaa kwamba anakimbilia maisha. Sasa umefika umri wa kuoa haoi, na hana mtoto hata wa kusingiziwa. mama anasikitika kweli. Ndo maana nimejihami inawezekana si husband material! Alipokuwa kijana yaani alikuwa anachukuwa mabinti wa nguvu kweli kweli ambao mpaka tulikuwa tunashangaa wanachompendea maana alikuwa hana mbele wala nyuma. Nikisema wa nguvu nina maana wale wadada ambao hawezi pita kitaani mtu usigeuke!

Mbona amechelewa hivyo au mambo ya shule? naona unatafuta wifi ati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom