Naodha waziri wa mambo ya ndani live ndani ya ITV pindi dakika 45

Nasikia jamaa anabana sana matumizi yasiyo ya lazima na mjamaa sana!!!!
 
Jamaa na methali ambazo azina vichwa wala mguu ata kuongea shida
 
Eti kasema anataka repot kutoka kambi zote wakimbizi na iziwe na zaidi ya page 2
 
Swali sasa hivi mandamano vp manayamezuiwa kwa ajili ya al shababu
 
Jamaa kajikanyaaga weee kajibu eti kwenye mandamano watu wanafunja sheria ndo maana tunawasiwasi na al shababu
 
Back
Top Bottom