Naodha Meli Mv Bukoba iliyoua Mamia Afariki Dunia

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Naodha aliyekuwa akiendesha meli ya MV Bukoba iliyopinduka na kuzama na kuua zaidi ya watu 800 katika ziwa victoria mwaka 1996 Captain Jumanne Rume Mwiru amefariki Dunia
Captain Jumanne Rume Mwiru Alifariki dunia usiku wa kuamkia jana allfajiri ,wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Bugando ,

naodha aliyekuwa akiendesha meli ya mv bukoba iliyopinduka na kuzama na kuua zaidi ya watu 800 katika ziwa victoria mwaka 1996 captain jumanne rume mwiru amefariki dunia
captain jumanne rume mwiru alifariki dunia usiku wa kuamkia jana allfajiri ,wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa bugando ,

rip
 
May his soul rest in eternal peace, Amen.
Khadija pole sana kwa msiba wa baba yako mungu awatie nguvu wewe mama yako na wadogo zako.
 
R.I.P baba yake na Hassan
Nakukumbuka Hassan tulicheza wote soka pale marine quarter's Mza. Pole sana kwa kumpoteza baba yako. He was a good man
 
Naodha aliyekuwa akiendesha meli ya MV Bukoba iliyopinduka na kuzama na kuua zaidi ya watu 800 katika ziwa victoria mwaka 1996 Captain Jumanne Rume Mwiru amefariki Dunia
Captain Jumanne Rume Mwiru Alifariki dunia usiku wa kuamkia jana allfajiri ,wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Bugando ,
HUYU MTU NILIAMBIWA ALIKUWA AMESHAFARIKI TOKA MWAKA 2000 KUMBE ILIKUWA KUPUNGUZA TENSION ZA WAFIWA MUNGU AMREHEMU.
 
Haahaaa nimecheka peke yangu labda huyo vengu kawakumbuka ndugu zake waliopotea kwenye mv bukoba.uzi wa miaka huu wakuu au mme miss kutoa r.i.p
Ndio maana huwa napenda kuangalia Muda na tareh kabla ya yote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom