Naoa baada ya mwezi mlioko kwenye ndoa nasaha zenu please

Leo sijisikii kusema mengi, ila cha msingi kumbuka yale mambo mazuri yaliyokuvutia kwa mtarajiwa wako na yale ambayo yeye pia alivutiwa na wewe na akakupenda kwa hayo, myadumishe na kuyaimarisha maana haya ndiyo msingi wa upendo wenu na ndoa yenu.

Uvumilivu, kuheshimiana, kusaidiana, kuaminiana, kushirikishana, kutokusikiliza majungu ya watu na ndugu nk hayo huja kujaziliza tu hilo jambo nililolitaja hapo juu.

Nakutakia ndoa njema yenye upendo, furaha, mafanikio na isiyochakachulika!
All the best.
satelite kamata na hii!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikupe BACHELOR PARTY bwana kaka, ukifuata haya, UTAZEEKA NA MKEO!!!!!

1. Mwanaume asifiwi SURA, ila UNENE wa WALLET na Bank ACC!!! Epuka KUFULIAAA! Utaitwa MWANAUME SURUALII!
2. Mwanamke hapigwi KOFI anapigwa na Lesswig au kiatu cha bei mbaya!
3. Fanya juu chini UMNUNULIE MKEO USAFIRI!!!! Barabarani nuksiiii!
4. Mwanaume hajibizani wala hapayuki, yeye KIMYA tuu na MATENDO!!!! Mkeo akikugombaaa usiondoke nyumbaniiii, mbebe juu juu kamalizieni hasira kitandaniiii!
5. Mwanaume si Mshindaniiii, MPE MKEO USHINDI WA MEZANIIII!!!!! Hapo utajiepusha na kukosa unyumba kwa siku kadhaa!
6. Mwanaumeee shurti UMZIDI MKEO AKILI, haswaa kwenye ugomvi mdogomdgo, dawa ya moto ni majiii!

NI HAYO TUUUUU!
Yaani lara1 mi huwa nacheka sana kwenye comment/thread zako huwa hela kwenda mbele nahisi una mchanganyiko wa mpale na mchaga. Sijui owner huwa anatolewaje dollari aissseee
 
mengi yameshaelezwa na wachangiaji waliotangulia lakini si vibaya kuyasisitiza baadhi. ndoa yenye afya walau inahitaji uvumilivu, upendo, kuheshimiana, transparency frm both husband & wife, also as a captain wa hiyo jahazi usirudi nyumbani mikono mitupu,uwe focused, jiamini ktk maamuzi unayofanya, usiwe mtu wa kubadili bali maamuzi yako, ukisema nitafanya hakikisha unafanya.
 
kama ni mkeo 'to be' ni mkurya hakikisha makofi yanatawala,walau mara moja kwa wiki!
 
Maisha ya ndoa nimeyachuki sana kwa kweli najikokota mume hataki kunipa talaka anasema tukiachsna tayari ni madui yani wanaume hawa wakikuchoka wao ndo halali ukichoswa meanamke nl uadui mhmm kazi.

Nayanda.
 
kama Mhaya,ajitahidi mara kwa mara kuongea kithungu
Kama Mpare,makande yasiishe nyumbani,ugali na picha ya samaki pia
Si nasikia Wapare hawajui kukataa na wahaya ni wafaransa wanangonoka hadi na kaka zao? mbona hizi sifa unazificha? haya niambie na sifa za Wakwere.
 
ndoa hazifanani ndugu yangu....

Kikubwa muwe wawazi kati yenu....

Muheshimiane, kila mmoja akubali kujishusha (usidanganywe mwanaume haombi msamaba mwanaume hivi mwanaume vile)

asante, pole, samahani, nakupenda yatawale ndani mwenu...

Mthaminiane na kila mmoja amjali mwenzie, usimtendee mwenzio vile ambavyo hupendi kutendewa......

Kumbuka ndoa ni ya wawili, matatizo yenu muyakabili wawili sio mtangetange huku na kule kupeleka mambo yenu.... Ya ndani mwenu yaishie ndani mwenu..... Hata kama mkikwaruzana mkitoka nje mtu asijue chekeeaneni tabasamianeni...
Mkiamua mipango yenu wasije ndugu jamaa wakaipangua......

Chunga ndugu, wana nafasi yao ila wasiingilie ndoa yenu, muwaheshimu na wanapokuja kwenu wafuate sheria zenu...

Pangeni mipango yenu pamoja, amueni pamoja.....shikaneni nyie wawili....

Mwisho epuka virukanjia..... Siku hizi wanaume wakioa virukanjia ndo wanawapenda wanadai wanajua kuhonga na hawawabani, halahala msijeleteana maradhi

Mkuu salute,usia wako una maana sana ni maneno kidogo lakini ndani yake kuna hekma kubwa,mimi pia nataraji kuowa soon hata mimi umenipa usia thanks
 
Ngoja nikupe BACHELOR PARTY bwana kaka, ukifuata haya, UTAZEEKA NA MKEO!!!!!

1. Mwanaume asifiwi SURA, ila UNENE wa WALLET na Bank ACC!!! Epuka KUFULIAAA! Utaitwa MWANAUME SURUALII!
2. Mwanamke hapigwi KOFI anapigwa na Lesswig au kiatu cha bei mbaya!
3. Fanya juu chini UMNUNULIE MKEO USAFIRI!!!! Barabarani nuksiiii!
4. Mwanaume hajibizani wala hapayuki, yeye KIMYA tuu na MATENDO!!!! Mkeo akikugombaaa usiondoke nyumbaniiii, mbebe juu juu kamalizieni hasira kitandaniiii!
5. Mwanaume si Mshindaniiii, MPE MKEO USHINDI WA MEZANIIII!!!!! Hapo utajiepusha na kukosa unyumba kwa siku kadhaa!
6. Mwanaumeee shurti UMZIDI MKEO AKILI, haswaa kwenye ugomvi mdogomdgo, dawa ya moto ni majiii!

NI HAYO TUUUUU!

Ha ha ukweli mtupu,, maneno yako umenifanya nimkumbuke my first love m.....,, enz nipo form 4 alikuw mwehu kama wewe na mim akili shake well before use, u can't imagine wazaz wa pande zote walivunja mahusiano kwa nguvu as kila mtu anamwarib mwenzake.. Then mi nikahamishiwa boarding as nilikuw day scholar na ye akapelekwa kwa ndugu yake majuu na relation ikafa.. Alikuwa na maneno ya kijinga halafu yupo serious kama kweli jangwan kila siku kesi na akizidiwa anamzushia ticha anamtongoza..

Nimemkumbuka sana kwa hayo maneno hadi nimemtext facebook.. Akirud aje na hela twende mbugan tukakumbushane ( si unajua japo relation haipo but akirud kukumbushana enzi kupo kama kawa)
 
ndoa hazifanani ndugu yangu....

Kikubwa muwe wawazi kati yenu....

Muheshimiane, kila mmoja akubali kujishusha (usidanganywe mwanaume haombi msamaba mwanaume hivi mwanaume vile)

asante, pole, samahani, nakupenda yatawale ndani mwenu...

Mthaminiane na kila mmoja amjali mwenzie, usimtendee mwenzio vile ambavyo hupendi kutendewa......

Kumbuka ndoa ni ya wawili, matatizo yenu muyakabili wawili sio mtangetange huku na kule kupeleka mambo yenu.... Ya ndani mwenu yaishie ndani mwenu..... Hata kama mkikwaruzana mkitoka nje mtu asijue chekeeaneni tabasamianeni...
Mkiamua mipango yenu wasije ndugu jamaa wakaipangua......

Chunga ndugu, wana nafasi yao ila wasiingilie ndoa yenu, muwaheshimu na wanapokuja kwenu wafuate sheria zenu...

Pangeni mipango yenu pamoja, amueni pamoja.....shikaneni nyie wawili....

Mwisho epuka virukanjia..... Siku hizi wanaume wakioa virukanjia ndo wanawapenda wanadai wanajua kuhonga na hawawabani, halahala msijeleteana maradhi

Mkuu nakupa salute ntafanyia kazi
 
Leo sijisikii kusema mengi, ila cha msingi kumbuka yale mambo mazuri yaliyokuvutia kwa mtarajiwa wako na yale ambayo yeye pia alivutiwa na wewe na akakupenda kwa hayo, myadumishe na kuyaimarisha maana haya ndiyo msingi wa upendo wenu na ndoa yenu.

Uvumilivu, kuheshimiana, kusaidiana, kuaminiana, kushirikishana, kutokusikiliza majungu ya watu na ndugu nk hayo huja kujaziliza tu hilo jambo nililolitaja hapo juu.

Nakutakia ndoa njema yenye upendo, furaha, mafanikio na isiyochakachulika!
All the best.

Thanks mkuu nimekusoma
 
Nafahamu maisha ya ndoa yana furaha na machungu yako(UP and DOWN),mabinti kwenye kitchen party huwa wanaelezwa kwa mapana na marefu juu ya maisha ya ndoa na uvumilivu wake nimemwomba mungu na naendelea kuomba kukabiliana na changamoto,mlioko kwenye ndoa mna experience nzuri ya maisha ya ndoa yalivyo na challenge zake pse mnaweza kushare nami challenge mlizokutananazo ili nami naetarajia kuingia kwenye huo ulingo niweze kuzikabili kama mlivyoweza nyie.

Nawakilisha!

Acha kufanya mambo kuwa mazowea, humo ndimo mnamopatikana njia za mapungufu.Hilo ndio mchango wangu!
 
Back
Top Bottom