Nanyimwa

Kha! kumbe kuku wa jirani ndio anakuliza mie nilifikiri wa kwako, tafuta mwingine mzuri zaidi ya huyo umfuge mwenyewe utaona kama kuku wajirani hatokuonea wivu nae atakuwa analia kama ww
 
Kama ni wako sioni kwa nini utumie manati..........lol mambo ya chumbani inafikia kuwa kichekesho.
 
Jamani namaanisha mmiliki ni mpenzi/lazizi wangu kwa nini aninyime?
 
Kumbe mwenzako ndiyo mmiliki basi vumia utazoea kunyimwa kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeh.

Kwanini anilishe mimi kuku wa kizungu tu wkt kuku mtamu namuona yuleeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom