Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Milya kawekewa vikwazo kaambiwa asahau kabisa kupata uongozi ndani ya Chadema...wewe uoni kama uhuru wake wa kidemokrasia umebakwa?
I was on ma way to comment the same thing...... nimekosa batan ya like mkuu u deserve it!
Wakuu msinishambulie mie hii habari nimeitoa kwenye Gazeti pendwa la Mwananchi la tarehe 2 May 2012.
Wakuu
ukisoma habari nzima utaelewa nini ninachomaanisha,kimsingi ni swala lipo wazi kuwa CHADEMA hatugawi vyeo,na lazima tuchunguze na kujiridhisha kuwa yeyote aingiaye ana nia na dhamira ya kukomboa nchi na si kwa ajili ya madaraka.Milango ya kuingia CHADEMA ipo wazi,lakini lazima tuchunguze
Mbona hawa wote walikuwa CCM wote walipewa nafasi Fred Mpendazoe, John Shibuda, hata waasisi wa Chadema wote wametoka CCM Edwin Mtei, Bob Makani.
Kama siyo unafiki weka Makala nzima.Wakuu msinishambulie mie hii habari nimeitoa kwenye Gazeti pendwa la Mwananchi la tarehe 2 May 2012.