Nanyaro: James Ole Milya sahau kabisa uongozi ndani ya Chadema

Na toka lini wewe ukawa msemaji wa chama kuandika mambo yao unayoyaona kwenye magazeti
Si uandike yanayoihusu magamba yako mbona yapo mengi tuu kwenye magazeti
Na naona usipoandika linaloihusu CDM siku yako huwa haimaliziki salama as if mambo ya magamba yameisha
Andika kuhusu report ya CAG na namna mawaziri wako wanavyokataa kujiuzulu na kikimbilia kwa waganga as if waganga watazuia ufisadi wao kuonekana
Andika kuhusu mawaziri wako wanashirikiana kuihujumu nchi
CDM sio watawala na mambo yao yana wasemaji wao na wakiona inafaa watayaongelea
 
Hata kama imeandikwa na Mwananchi au Mwanahalisi, kuna jipya gani la kujadili hapo?...mbona sentensi iko crystal-clear?...au?
 
Kama Nanyaro amesema hivyo basi si haki. Ajue katika siasa hakuna uadui wa kudumu. Watu wana cross toka upande huu kwenda mwingine na hata vyeo wanapata. Mrema alitoka CCM akaenda NCCR akapata cheo. Dr. Slaa alipata cheo, Dr. Kabourou alitoka CDM akapata ubunge wa EA huko CCM, nk.

Mzee usitumbukie kwenye mtego wa uchonganishi.
 
Hata kama mwananchi wameandika,kwani millya amefuata vyeo? Kama kafuata hatuko tayari kumpa,bt itajizungukia yenyewe.
 
Kama Nanyaro amesema hivyo basi si haki. Ajue katika siasa hakuna uadui wa kudumu. Watu wana cross toka upande huu kwenda mwingine na hata vyeo wanapata. Mrema alitoka CCM akaenda NCCR akapata cheo. Dr. Slaa alipata cheo, Dr. Kabourou alitoka CDM akapata ubunge wa EA huko CCM, nk.

Inategemea kama ndo yalikuwa makubaliano ya kuhamia CDM. Kama hawakuwekeana dau na CDM basi Milya akubali kutulia na tujue kama anataka kustawi basi hana budi kuwa chini na kuoza kama mbegu then aote tena na si kutaka kupeta juu kwa juu. Ingekuwa rahisi hivyo basi kila mtua angehamia CDM.
 
Mbona hawa wote walikuwa CCM wote walipewa nafasi Fred Mpendazoe, John Shibuda, hata waasisi wa Chadema wote wametoka CCM Edwin Mtei, Bob Makani.
 
Kama Nanyaro amesema hivyo basi si haki. Ajue katika siasa hakuna uadui wa kudumu. Watu wana cross toka upande huu kwenda mwingine na hata vyeo wanapata. Mrema alitoka CCM akaenda NCCR akapata cheo. Dr. Slaa alipata cheo, Dr. Kabourou alitoka CDM akapata ubunge wa EA huko CCM, nk.
I conquer with you kimbunga, kwanza nanyaro hana mandate ya kusema hivyo... Kwa sababu viongozi wanachaguliwa na wananchi na yeye hana hata nafasi moja ya kufanya uteuzi so asubiri uamuzi wa wananchi hapo nafaSi zitakapotangazwa​
 
Na toka lini wewe ukawa msemaji wa chama kuandika mambo yao unayoyaona kwenye magazeti
Si uandike yanayoihusu magamba yako mbona yapo mengi tuu kwenye magazeti
Na naona usipoandika linaloihusu CDM siku yako huwa haimaliziki salama as if mambo ya magamba yameisha
Andika kuhusu report ya CAG na namna mawaziri wako wanavyokataa kujiuzulu na kikimbilia kwa waganga as if waganga watazuia ufisadi wao kuonekana
Andika kuhusu mawaziri wako wanashirikiana kuihujumu nchi
CDM sio watawala na mambo yao yana wasemaji wao na wakiona inafaa watayaongelea

Mr Rocky,
JF sio mali ya Chadema ni jukwaa huru kama habari haikupendezi unaweza kuamia kwenye jukwaa lolote JF kuna majukwaa mengi.
 
Hivi ndivyo inavyotakiwa, inatakiwa wahamiaji wachunguzwe kwanza kwa muda kama sio mamluki,waelewe itikadi ya chama nawaonyeshe kwa vitendi kama wanaikubali itikadi ya chama, na mwisho wapate uongozi kwa taratibu zilizowekwa kwa kushindanishwa na sio kubebwa.
 
haina mvuto mbona hujaandika kuhusu baraza la mawazir!

Hili la baraza la mawaziri tushalizoea sana humu ndani lishaandikwa na hata leo pia watu wameliandika; lkn kwa hili ni jipya na kimsingi Nanyaro yupo sahihi uongozi si kupeana bali mhusika awe anatosha haswaa kupewa uongozi
 
Mwongo huyu Ritz,gazeti nimelisomna karibu lote,aweke linki au ataje heading ya hiyo habari
 
Concern yako Ritz hapa nini?
1. Unataka Milya awe kiongozi ndani ya CDM kama alivyokuwa CCM?
Kwa mtazamo wako maneno aliyosema Nanyaro(Kama kweli) yanatumika pia CCM? Mfano Shitambala alikuwa mwenyekiti wa CDM mkoa wa Mbeya Na akahamia CCM kwasasa anacheo Gani?na hili chukua muda gani mpaka kupata hicho cheo?

Mytake:Kila Ngoma ina mdundo wake,na kila chama kina taratibu zake katika kuendesha shughuli zake. Issue ya mwanacha kuwa kiongozi ni haki ya msingi lakini usisahau kuwa Haki huenda na wajibu pia.
 
Mbona hawa wote walikuwa CCM wote walipewa nafasi Fred Mpendazoe, John Shibuda, hata waasisi wa Chadema wote wametoka CCM Edwin Mtei, Bob Makani.

Mpendazoe na Shibuda wamepewa vyeo gani ndani ya Chadema??
 
Mzee usitumbukie kwenye mtego wa uchonganishi.

Aaah wewe uchonganishi gani? Kama imeandikwa kwenye gazeti basi hao ndio wachonganishi. Na kama Nanyaro amesema hivyo yeye ndio mchonganishi. Mtu akishakuwa mwanachama anakuwa na haki zote za mwanachama. Kama ni kweli hayo yamesemwa ina maana Millya akionekana anafaa mahala kama kiongozi na kupitia mchakato wa kichama hatakubaliwa?

Hapa issue labda ni authenticity ya habari lakini siyo kwamba mtu ukichangia basi unakuwa mchonganishi.
 
Concern yako Ritz hapa nini?
1. Unataka Milya awe kiongozi ndani ya CDM kama alivyokuwa CCM?
Kwa mtazamo wako maneno aliyosema Nanyaro(Kama kweli) yanatumika pia CCM? Mfano Shitambala alikuwa mwenyekiti wa CDM mkoa wa Mbeya Na akahamia CCM kwasasa anacheo Gani?na hili chukua muda gani mpaka kupata hicho cheo?

Mytake:Kila Ngoma ina mdundo wake,na kila chama kina taratibu zake katika kuendesha shughuli zake. Issue ya mwanacha kuwa kiongozi ni haki ya msingi lakini usisahau kuwa Haki huenda na wajibu pia.

Naona Milya kawekewa vikwazo kaambiwa asahau kabisa kupata uongozi ndani ya Chadema...wewe uoni kama uhuru wake wa kidemokrasia umebakwa?
 
Habari hii ilinishtua kidogo lakini nilipoona mwanzisha thread ni Ritz nikajua Nepi at work. Hivi hiyo ndo maana ya kuwa mwenezi wa chama???
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom