Nanyaro: James Ole Milya sahau kabisa uongozi ndani ya Chadema

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,923
32,336
Wanabodi JF.
Ephata Nanyaro Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) Mkoa, na Mwenyekiti wa chama hicho Arusha Mjini.

Anasema namfahamu Milya, ni kijana mwenzangu lakini kwa muda wote tulikuwa na tofauti za kiitikadi, kifalsafa na kimtazamo.

Kutokana na yeye kuamua kuachana na CCM na kuamua kujiunga na Chadema, kuhusu kupata nafasi ya uongozi Chadema asahau kabisa sisi hatugawi vyeo kama pipi.

Aliendelea kusema mtu yoyote asijiunge na chama chetu akitarajia atapata uongozi wa ngazi yoyote.

SOURCE: MWANANCHI MAY 2 2012.
 
Wewe Ritz ni mwongo mbona wengi wamejiunga wakiwa wenyeviti wa vijiji sasa wakigombea kwa tiketi ya CHADEMA wazuiliwe???????

Wakuu msinishambulie mie hii habari nimeitoa kwenye Gazeti pendwa la Mwananchi la tarehe 2 May 2012.
 
Hakuna vyeo vya kugawana CDM, hiyo ni fact!!

Ulitaka kutumia kama propaganda au??

Pole Mkuu!
 
Ole Milya hakuitwa kuja CDM kwa hiyo lolote litakalompata apime ajiamulie mwenyewe, na ajue wapo vijana wengi na wasomi kama yeye ambao wameitumikia CDM na tulikuwa tunamwangalia akiwa kwenye enzi yake ya ccm. Na kama sisi vijana wa CDM ni washika mapembe wanywa maziwa watakuja basi mtujuze.
 
Kama Nanyaro amesema hivyo basi si haki. Ajue katika siasa hakuna uadui wa kudumu. Watu wana cross toka upande huu kwenda mwingine na hata vyeo wanapata. Mrema alitoka CCM akaenda NCCR akapata cheo. Dr. Slaa alipata cheo, Dr. Kabourou alitoka CDM akapata ubunge wa EA huko CCM, nk.
 
Si wazo baya! Au mlitaka ajipendekeze? Labda ndo kanuni za chama
 
Wanabodi JF.
Ephata Nanyaro Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) Mkoa, na Mwenyekiti wa chama hicho Arusha Mjini.

Anasema namfahamu Milya, ni kijana mwenzangu lakini kwa muda wote tulikuwa na tofauti za kiitikadi, kifalsafa na kimtazamo.

Kutokana na yeye kuamua kuachana na CCM na kuamua kujiunga na Chadema, kuhusu kupata nafasi ya uongozi Chadema asahau kabisa sisi hatugawi vyeo kama pipi.

Aliendelea kusema mtu yoyote asijiunge na chama chetu akitarajia atapata uongozi wa ngazi yoyote.

SOURCE: MWANANCHI MAY 2 2012.

Hilo gazeti ninalo hapa.Acha uongo mkuu.Weka link na habari yote....
 
Back
Top Bottom