Nanunua ukarani wa sensa dodoma10%

MTORI

Member
Jun 19, 2012
46
4
ndugu zangu wameninyima nafasi ya ukarani hapa dodoma mjini, katika pitapita zangu nikaambiwa "waliopita walikuwa na marefa hususani wanachuo walio mtaani bila ajira" mlioko jikoni naomba refa nipo tayari kwa 10% niPM plse maisha magumu sina kazi.
 
sio takukukru wala nin ni kijana nisiye na ajira mkuu naganga njaa na degree yangu mtoto wa mkulima
 
nina vigezo vyote isitoshe nimehudhuria mafunzo ya NBS kuhusu population, sensa , demography pia softwares kama STRATA, SPSS, LIMDEMP. Yalifanyika chuoni nina chet niko fiti siweyiharibu kazi MGALULA.
 
njaa mbaya.... Siamin km kuna kujuana sababu nimepata na simjui mtu yoyote na kat ya 400 tuliomba 2mebak 150 so naamin hak imetendeka km ujapata amin si risiki.
 
njaa mbaya.... Siamin km kuna kujuana sababu nimepata na simjui mtu yoyote na kat ya 400 tuliomba 2mebak 150 so naamin hak imetendeka km ujapata amin si risiki.

umetumwa? mbona hata kiswahili kimekushinda kibaraka kuonyesha udhaifu.
 
Tageti nadhani ilikua ni Walimu make jamaa zangu wengi tumebwagwa hata sijui vigezo gan wao walitumia kuchagua majina yale,ila tusilaumu sana siku zote kisicho liziki hakiliki!
 
kweli kisicho liziki hakiliki kwa sababu mimi jina langu lilichaguliwa kwa ajili ya interview, lakini hawamu hii ya mwisho halijaonekana. Namuachia mungu yote@Bukijo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom