....Nanukia Harufu ya Majivu...

kakamukubwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
203
27
Kila nikimaliza kufanya Mazoezi jasho langu hunukia harufu ya Majivu Majivu,Harufu hii huwavutia Walio karibu yangu.
....
...ukikamatwa umejenga Choo Unashtakiwa...
 
Geez! Harufu ya majivu??? Halafu toilet?? That's unnatural for the human being. Just seek medical advice ASAP isijekuwa umeshaungua umebaki..., btw what about toilet in ur tatizo? Be open specify, kakamukubwa.
 
Kakamukubwa! Mbona hujaeleweka tujadili nini hapa? Hebu put fafanuo!
 
Some texts missing hapo kwenye ...... Ndo mana kumekosekana connection na full meaning.
 
Back
Top Bottom