Muelekeze namna ya ku-pm huenda hajui...Si umpm.
<br />Muelekeze namna ya ku-pm huenda hajui...
Khaa! kumbe tuko wengi hatujui kuPM. tunaomba mods waanzishe jukwaa la kutufundisha kuPM<br />
<br />
mi mwenyewe sijui nawaskiaga watu.
<br />Khaa! kumbe tuko wengi hatujui kuPM. tunaomba mods waanzishe jukwaa la kutufundisha kuPM
........muulize haraka tupo wengi tunataka ku PM,Ku-Pm nilikuwa najua ngoja nimulize Katavi kama atakuwa anajua.
PM ndo nini?wapi huko umemtafuta
si umpm
Hata wewe?PM ndo nini?