NANIHIU marufuku MOROCCO...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Nchi ya Morocco,hapahapa Afrika, imepiga marufuku mapenzi nje ya ndoa. Kupitia Kanuni ya Adhabu Nambari 490 ya nchi hiyo,ni kosa la jinai kufanya mapenzi na asiye mke/mume wako. Adhabu kali za viboko,faini na kifungo gerezani zinatolewa kwa yeyote anayevunja sheria hiyo...
 
Sasa infidelity itakuwaje? Ama ndo inabidi kuoa na kutoa talaka baada ya miezi 3?
 
ninachotaka kujua ni kama itakuwa enforced kwa wanawake tuu kama ilivyo nchi zingine za kiislam au na wanaume pia tutabanwa
 
ni neno jema sana..
lakini isije kuwa kama ile ya mwanamke lazma aoelewe akiwa birika alafu matokeo yake inaongeza ushoga na waschana kutoa 0713 hadi ili wanapoolewa waende nabirika zao
 
Back
Top Bottom