SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 7,075
- 6,675
- Okay, so far naona wengi tunakubaliana kwamba Mwanakijiji ndiye bingwa kuliko John Mashaka, meaning kwamba Mwanakijiji ndiye undisputed king wa siasa za online na kwamba from now on anayo our mandate yetu, yaani wananchi wote wa Online Political Activism na kwamba kwenye ishu nyingi muhimu za taifa, kama hakuna hoja nzito ya kumpinga automatically anakuwa anatuongelea wote kutoka Online Politics, ninasema kwenye kila mkusanyiko lazima kuwe na kiongozi,
- Kuna ishu moja ambayo sikuona inachangiwa ya kutosha, je ni ipi blog zaidi ya nyingine kati ya Michuzi na JF Kumkoma Nyani? Ninasema tuntaka undisputed leader katika hizi shuguli sio kulalalama tu bila uongozi.
- Halafu wewe mkuu huko juu, hivi kwa nini usichukue time-off na hizi internent ukapumzika japo siku mbili, mkuu this thing is wearing you down, I mean ni ushauri wa bure tu this 24/7 Online Syndrome is taking you down bro!
Respect.
FMEs!
Kwa nini unalazimisha vitu juu juu! Kwani wewe ni msemaji mkuu wa hapa?