Nani zaidi? katibu wa chadema-dr slaa na ccm-yusuph makamba?

kimsingi Dr slaa ameadvance zaidi kuliko makamba, yaani kama ni marathon katika mbio za mita 100 basi slaa tayari ameshacover mita 60 ahead. coz through level of education, administrative capacity & vision katika kusolve issues slaa yupo mbali mnoooooooooooooooooooo.
 
Dr Slaa yuko juu ya makamba mpaka boss wake mkwere, wote anawaacha mbali sana yaani ni kama vogue kwa barabara zetu mbovu na bajaj
 
Hahahah!Makamba yuko juu bhana,akitoa tamko nchi yote lazima icheke,yeye anaropoka tu bila tafakari,isitoshe ni katuni tosha,tofauti na Slaa yeye anatumia muda mwingi kutafakari mambo muhimu
 
Hii mada ni ya kitoto saaaana.....
Anyway, suali nini vile?
Oh, makamba na slaa
elimu------------slaa upadri , makamba ?! tumuulize january mtunzi wa vitabu.
jeshi ------------makamba kanali, shujaa wa vita ya kagera/uganda, slaa ?! 0
Uongozi ---------makamba kuteuliwa mchapakazi, slaa upadri ?!!, ubunge kazi nzuri -great.
Speech presentations/ interviews ------ makamba weak speaker, slaa excellent speaker
Family man---------makamba excellent - products(January,Mwanvita), slaa ?!!!
Private life ----------makamba better, slaa sloppy playboy - anahitaji ushauri wa wazoefu.
Kuropoka ----------makamba worst, slaa elimu inamsaidia - better.

Grade: slaa 4/7
makamba 4/7
 
Hapa tu ndipo wanachadema huwa mnanifurahisha, wachangiaji ni wengi mno kwa kusifia chadema,
Hebu tujikubushe yafuatayo,
-jana ilipoletwa thread ya kutaka kujua CV ya freeman na said Arf wote waligwaya na kubaki kukejeli
-Kabla ya uchaguzi wadau waliomba elimu ya mgomgea mwenza wa slaa na kampeni zake anazipigia wapi, sote ni mashahidi jinsi wanachadema walivyofura na kutukana,
-leo maada ya slaa na makamba ambayo kiuhalisia haina facts zaidi ya mtizamo wa mtu binafsi mnaona jinsi mlivyojitokeza kwa wingi kwa ajili ya kuponda.
hii ni aibu. badilikeni othewise itabidi tuiite chadema forum badala ya jamii forum.
hivi wewe shida yako ni nini? hii ni jamii forum na siyo chadema forum.ILA INATAKIWA UJUE KWAMBA watumiaji wa intanet wamesoma na wengi ni wasomi hawapati shida ya kumlinganisha Babu Makamba na Dr Slaa ni rahisi kwetu kama kuitofautisha sarafu ya shilingi kumi na noti ya elfu kumi ni ipi yenye purchasing power.
 
Muombe Dr. Slaa radhi kwa kumlinganisha kwa kila namna na YM. Huo ufananishi ni kama kumfananisha Arnestein (Dr. Slaa) na mwalimu wa shule ya vidudu (Makamba) ambaye tena anawapa mimba hao watoto wadogo!
 
Hii mada ni ya kitoto saaaana.....
Anyway, suali nini vile?
Oh, makamba na slaa
elimu------------slaa upadri , makamba ?! tumuulize january mtunzi wa vitabu.
jeshi ------------makamba kanali, shujaa wa vita ya kagera/uganda, slaa ?! 0
Uongozi ---------makamba kuteuliwa mchapakazi, slaa upadri ?!!, ubunge kazi nzuri -great.
Speech presentations/ interviews ------ makamba weak speaker, slaa excellent speaker
Family man---------makamba excellent - products(January,Mwanvita), slaa ?!!!
Private life ----------makamba better, slaa sloppy playboy - anahitaji ushauri wa wazoefu.
Kuropoka ----------makamba worst, slaa elimu inamsaidia - better.

Grade: slaa 4/7
makamba 4/7

Huo ukanali ulimpa wewe?
 
tajiri kuingia kwenye ufalme wa mbigu ni sawa sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano
 
Hii mada ni ya kitoto saaaana.....
Anyway, suali nini vile?
Oh, makamba na slaa
elimu------------slaa upadri , makamba ?! tumuulize january mtunzi wa vitabu.
jeshi ------------makamba kanali, shujaa wa vita ya kagera/uganda, slaa ?! 0
Uongozi ---------makamba kuteuliwa mchapakazi, slaa upadri ?!!, ubunge kazi nzuri -great.
Speech presentations/ interviews ------ makamba weak speaker, slaa excellent speaker
Family man---------makamba excellent - products(January,Mwanvita), slaa ?!!!
Private life ----------makamba better, slaa sloppy playboy - anahitaji ushauri wa wazoefu.
Kuropoka ----------makamba worst, slaa elimu inamsaidia - better.

Grade: slaa 4/7
makamba 4/7

Hapo kwenye Family Man sijui upachakachue vp then umpatie nafasi yule mtoto aliyenanihiwa pindi jamaa alipokuwa mwalimu wa shule ya msingi...
Nadhani umenielewa
 
Back
Top Bottom