Nani zaidi kati ya Paul Pogba na N'golo Kante?

Pogba mpeni uanamitindo hasa wa nywele, soka mwachien Kante. Dume zima kushinda Saloon tabia kama za wanaume wa Darisalama kusuguliwa kucha na magaga, pimbi kabisa!
 
Paul Pogba tokea aje Man U kafunga magoli mangapi na kutoa assist ngapi?

Na Ngolo Kante tokea aje chelsea kafunga magoli mangapi na kutoa assist ngapi?

Ukipata jibu hapo juu basi ujue huyo ndo anayemzidi mwenzake
Kwani kwenye match ya Chelsea vs Man utd ya 4 - 0 nani alifunga goli na kutoa asist ya goli. Nadhani ndio zaidi!
 
izoo apoo
 

Attachments

  • 1477564337326.png
    1477564337326.png
    49.7 KB · Views: 70
Back
Top Bottom