Nani zaidi kati ya Mbwana samatta na Jerrson Tegete?

elimsu

Member
Aug 27, 2010
31
3
Mbwana samatta anatisha ni atakua nguzo ya timu yetu ya taifa kwani mpaka sasa hatuna mfungaji wa kutumainiwa
 
Mbwana anaonekana kua hazina kwny timu yetu ya taifa. Ila hasije kuvimba bichwa kwa kulewa sifa za magazetini! Inabidi afanye mazoezi mara 2 zaidi ya mazoezi ya mwalimu. Na azingatie nidhamu. Haachane na kuku wa kienyeji na mitungi. La sivyo nae ataishia,kusahauliwa na kua ka Lunyamila.
 
mbwana samatta ni noma zaidi ya tegete tumeona mambo yake lately ni danger
 
Jamaa ni hatari sana, tena muda wowote. Yanga wakitaka wasifungwe, wamuumize mapema atoke. Tegete yuko kwa mbali sana!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom